正在加载视频...

视频加载失败

Kwa watembezi tu 📌hapa ni wapi???

69,583 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

Hapa ukivunjana roho unajipata Kwa kichaka...
0:19

Sensitive content

Hapa ukivunjana roho unajipata Kwa kichaka...

GlennØ🇰🇪

277,645 次观看 • 3 个月前

UPDATES SHAURI LA KUPINGA MASHAIDI KUFICHWA KWENYE KESI YA MHE. LISSU Part 6 Muda huu saa kumi na nusu jioni bado kesi inaendelea hapa Mahakama kuu Mawakili wa Serikali Wamemaliza kufanya submission iliyokuwa bored sana sasa Mtobesya anafanya Rejoinder hapa kwa niaba ya Utetezi. Mtobesya anasema cases alizocite zote ni Civil case yaani ni kesi za madai. Mahakama ya rufani inasema kwenye kesi za Civil sasa haya yaliyopo hapa ni mambo ya jinai. Wenzetu ni kama wamechanganyikiwa wanachanganya chai na ugali halafu wanataka kutuambia hicho ni chakula tunachoweza kukielewa kwa utamaduni wetu. Najaribu kumuheshimu mwenzetu Mrema anayesema tumekuja na appeal na sio Revision. Nafikiri nisiseme kuhusu hapo kumuheshimu tu. Lakini niseme sisi hatujaleta appeal hapa ndio maana hakuna ground za Appeal tumeleta. Hii ni Revision Wanasema kuwa applicant hakulalamika kuwa hakulalamika kokote kuwa hakupewa haki ya kusikilizwa. Sasa Mh. Nafikiri hapa pia ni kujichanganya tu. Maombi yenyewe yalikuwa exparte sasa angeenda kulalamikia wapi tena? Wakati hilo jambo limeelezwa kisheria. Tunachopaswa kukijadili hapa ni namna ambavyo mahakama iliweza kuyasikiliza maombi hayo na ilizingatia vitu gani kuyaamua? Je ilikuwa ni kwa mujibu wa sheria? Hili la Kuhusu MAFWELE naomba ieleweke kuwa lolote atakalosema lazima iwe imepokelewa kutoka kwa mtu mwingine. Yeye hana mamlaka au sio ni kiumbe ambacho kinapokea taarifa kutoka kwa MUNGU. Hivyo tunapaswa kujua hizo taarifa alizipata wapi? Je alizipata kweli? Sasa hatuwezi kuambiana na kuaminishana kuwa kila alichoambiwa MAFWELE na hatujui aliambiwa na nani basi mahakama ikimbie nacho kuwa ndio ukweli na ikiamini kama kilivyo. Sisi nimsimamo wetu kuwa taarifa hizo zilikuwa insufficient na hazikuisaidia mahakama kufanya uamuzi wake judiciously. Demeanor sio swala la shahidi ni suala la mahakama. Order ya mahakama inasema shahidi awe kwenye box. Sasa Mheshimiwa kibox kama kile pale tuwe practical kidogo. Hiyo demeanor mahakama inafanyaje? Itaona wapi hiyo demeanor. Na Demeanor inahusiana na credibility ya shahidi. Sasa mahakama itayagunduaje mambo kama hayo? Sisi tulichokiomba ni kwamba hizo tarehe kupewa mahakama maana na hatujasema tupewe hizo taarifa. Sasa mahakama ikishapewa hizo taarifa yenyewe ndio inajua namna ya kuficha hizo taarifa. Kama allegations ni kwamba kuna watu wanatishiwa basi ilitakiwa hizo taarifa za vitisho na wahusika wenyewe basi taarifa hizo zingepewa mahakama kwenye yale maombi yao EXPARTE ambayo walikuwa peke yao. Jambo lingine wanasema maombi haya sio criminal na hayapaswi kuthibitishwa pasipo kuacha shaka yoyote. Sasa labda watuambie kama maombi haya sio criminal ni CIVIL kwahiyo? Maana kesi zote zilizopo mahakamani kama sio CIVIL basi ni CRIMINAL hakuna kesi ambayo haina jinsia. Waelewe tu hivyo. Kifungu cha KATIBA cha 13(6) wenzetu hawajaelewa kwamba kifungu hicho kinabeba dhana nzima ya fair trial kwahiyo wenzetu kusema hakuna mahali imesema lazima mashahidi wawe wazi nafikiri wameielewa kinyume nyume. Part 7 itaendelea post inayofuata. Naomba Repost yako kwenye post hii.

Hilda Newton

14,144 次观看 • 1 年前