Loading video...
Video Failed to Load
Kwaya ya TAG Zanzibar
208,182 views • 3 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

SANUKAnaCHAPO3 years ago
Part 2

SEMA_KWELII3 years ago
Wamenifurahisha sanavery creative, Mungu azidi kuwabariki mno

Mchungaji3 years ago
Taarabu siyo nyumbo za ibada. Taarabu haipaswi kupigwa mahali popote ambapo Mungu abaabudiwa katika 'Roho na kweli'. Kuhusu mavazi wamevaa vizuri. Hongera yao.

Kelvin Kevoo3 years ago
Aseee, shetani mbona kayakanyaga🤣🤣 anasutwaa!

Tony3 years ago
Zanzibar nimewanyooshea mikono 🙌🙌

dio3 years ago
Kuna hawa pia kutoka Mombasa

Kato3 years ago
🤣🤣🤣🤣 ukidhani umeyaona yote ukumbuke hili pia

C@G!🗽3 years ago
@sukununu2 njoo kuna vazi la KANZU na Madela kwenye kwaya ya Zanzibar 😂😂

Sami3 years ago
Acheni kuichafua Zanzibar...hio video haihusiani kabisa na hio nyimbo ya kupandikiza...musilazimishe kueka chuki na udini kwenye taifa la watu

SANUKAnaCHAPO3 years ago
Kufa
