Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kwenu umoja wa vichaa ccm UVCCM TZ
14,332 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

@uvccm_tz Ila Tu yuvisisiyemu😂

@uvccm_tz Tuyuvisisiemu tupumbavu tuchawa 😀😀😀🙌

@HildaNewton21 @uvccm_tz Nimeipenda hii Tuyuvisisiyemu. Tunaifanya iwe hashtag fulani makini? Anyways, hutu tuyuvisisiyem ndo vinaoga yale matamko ya "tukiwapoteza msiwatafute" na polisi hawajawahi kuchukua hatua yoyote dhidi ya matamko ya kihuni.

@uvccm_tz

@uvccm_tz Tanzania wasipojifunza na sisi wakenya watajuta sana siku zijazo. Sisi next week tarehe 25 tuko statehouse kutoa rais ikulu 😂

@uvccm_tz Walishalishwa unga wa ndere

@uvccm_tz

@uvccm_tz Wanatuita tuyuvisisiem😂😂

@uvccm_tz Ukweli umesemwa.

@uvccm_tz Ni kweli wanakukosea adabu sana kukutoshia kukukata maskio. Wakati hapo nyuma unalo tundu kama la Boniface Mwangi. Tena watekaji wa huku ni waungwana sana. Wanatumia vilaiaishi kabla ya kubomoa "marinda". We njoo tu. I shall be okay
