Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kwenye comments wanasema amekua kama ufunguo๐
53 Kommentare

Jamani mm acheni niwe mzembe tuu stak kua iv na wengi wao uishia kupata matatizo ya migongo wabeba vyuma wengi

Kabisa kaka

Hapan huyu hakutakiwa a bulk na kikichwa chake kama nazi ya azam Piga zoezi kidogo ukuwe fut sio utishe heh

Si ndio ๐๐

Kupiga chuma kufika hapo sio mchezo anakazania mikono tu badala ajenge mwili mzima

Wanataka kujazia misuli tu

Kuna namna fulan wanaume wenye vitambi na vimiili vya hovyo huwa ni kama tunaleta jealous za kijinga kwa hawa jamaa wenye body zao๐

Kuna katuni moja hivi jamaa huwa muda mwingi ana kiko mdomon, ndo muonekano wa huyu jamaa

๐ watu wa hivi ndio wanasababisha Man U tunafungaa

Hamna timu pale acha kutafuta sababu๐๐๐

Tena funguo ya MULTLOCK.

๐๐๐๐

Sema cha ajabu hadi wanaume wana hate ck kukatia hivyo๐๐ daah alafu kuna wengne wanachkulia poa sana ila ukijua Gym ni nn unakaushaa tu

Na wewe umejazia hivyo

Kak๐ mm npo normal nmeacha gym 1yr ago

mbon yuko kawaida tu au mm ndo sielew

Kweli mkuu yupo kawaida ๐

Jamaa Namkubali sana Kupiga Zoezi mpaka kufika Apo sio kazi ndogo jamaa ana juhudi sana keep pushing broo ๐ช๐พ

Asante sana brother ๐ช๐ฟ

Kimuonekano tu kajamaa kana shidaa ki Afya

Hizi t shirt ni quality nzuri sana zina rangi mbili nzitoโ 17,000/=Nakupa t shirt ikiwa tayari printed kwa Kudarizi/kawaida Napokea Oda Kuanzia 5 โ๏ธ 0769063447 Sinza Makaburini ๐

Maana ya kua hv n nn??

Bodi building

Mbona kama Funguo ya kibbutz changu

HIZI NI STEROIDS, SIO POA ZINADEDISHA FASTER

Hawajui hawa

Muangalie vizuri hayupo sawa ngozi inaonesha hayupo sawaa hawa vijana waache kula ma sampliment za wazungu wanajiuwa kidogo kidogo

Wamezidi kula supliments

Kuna jamaa alikufa alikua kama huyo huyo gafla figo zikafeli

Madawa mengi wanatumia hawa

Kaka @shaks_prince yule jamaa aliekua anakupa ushauri ndio ampe huyu sasa

Mwamba akaanza kujicream nini

Inawezekana ๐๐๐

Kachaga kwa watu kameamua kujiua

Kuna umri flani baada ya teenage most boys lazima wapite hii part, Yani kama si vi'push ups basi hata kujibeba, alafu unaspend muda mwingi kujiweka fit... Hatua za kusaka tonge lako zikoshakua zako mazima, unaona huu ni utoto na ujinga, tofauti na hapo iwe hobby au kazi yako pia

Unasema jamaa hajakua bado

He is sick ๐๐

Kabisa ๐๐

Naomba @ yake please๐๐

๐

๐๐๐๐

๐๐๐

Wana hivi wanaguwa hawana nguvu miguu ukipigana nae piga miguu

Miguu haina nguvu

Mwili mkubwa lakin sixpack hana๐๐๐ gym koma ๐๐๐๐๐

Kichwa ni ya mtoto

Mwili mkubwaaa๐๐๐

Huyu anatrend sana anashida gani

Ata kama ni muscles this is what they calll disproportionate!

Kabisa hazina muunganiko

Wanasema kadogo kanatumia poda

Mi hua natamani niwe kama Kiba

๐๐๐
