Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

kwkw kebelah

561,987 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Adinda Zahrany 的头像
Adinda Zahrany1 年前

Tuh orang jahil banget yak

Ri 🫧 的头像
Ri 🫧1 年前

Hahaha tapi lucu sih kaya gitu kumisnya 😭

Nick 的头像
Nick1 年前

Parah banget jahilnya ya wkwkwk

taevas. 的头像
taevas.1 年前

Buset wkwkwk kan kebelah jdnya

𝐒𝐡𝐞𝐥_ 的头像
𝐒𝐡𝐞𝐥_1 年前

Kasihan tahu kenapa harus dijulitin

97.00 的头像
97.001 年前

Kok jail banget sih ini

D 的头像
D1 年前

parah banget itu jahilnya

cantika🌸 的头像
cantika🌸1 年前

Astagaa marah banget pasti wkwk

ruang lifehack 的头像
ruang lifehack1 年前

wkwk sampe kebelah gitu kumisnya dong.

L U N A 的头像
L U N A1 年前

haha iseng banget org lagi tidur diganggu

相关视频

Sofia Ansari smooth moves
0:22

Sensitive content

Sofia Ansari smooth moves

🦩

847,211 次观看 • 12 天前

WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali. Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe. LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana. Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo. Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza “tulikubaliana kutokubaliana”. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.

Anna Tibaijuka

37,499 次观看 • 7 天前