Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Lakini mkumbuke alitabiri na ikawa 😎
25,980 görüntüleme • 29 gün önce •via X (Twitter)
8 Yorum

Isikariotyi27 gün önce
Watu wenye akili na wenye uelewa wana tumika kama ma chawa wa viongozi. Polepole alikuwa mtu mmoja smart sana sema iliharibiwa na mwenda zake

ROBIE28 gün önce
may he rest in peace

Bao-Zang28 gün önce
Alikua smart sana mpaka mwaka 2016 ulipofika. Akaja kukumbuka tena shuka jioniii 2025

Hekmlik28 gün önce
Duuuh

Pedeshee Charles27 gün önce
😎😎

Hamiss Bakiza27 gün önce
Alikuwa wapii kipindi alipokuwa muenezi

VanWazza27 gün önce
#PaidActivists and #PoliticalProstitutes

Geronimo27 gün önce
Huyu bwege alipata mashahara anaostahili. Maana yeye na Magufuli ndiyo walioanzisha utekaji na uuaji bila kusahau kukandamiza demokrasia ya vyama. Muache aendelee kucheza draft na Magufuli huko kuzimu
