正在加载视频...
视频加载失败
#LaLaLa …. Itoke Lini??
18,323 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Adily Adrian3 年前
Tupe muda basi hii nyingine tuishi nayo kidogo zile jojo za mtani zimeisha utamu,ila kaka una sifa

Lau3 年前
Subiri mahaba ipoe kidogo sahv bado ya moto sana usiipooze na LaLaLa

XNIPER |Trader 📈3 年前
Hilo lidude litoke kesho tu🙌🙌King 👑👑×kingsmusic🙌🙌🔥🔥

Calvin M Zabron3 年前
Usitoe maana kuna kupagawa sasa 😂😂😂😂😂😂

Ukiniamini Nakuponyandugu3 年前
Ali leta nyimbo ya "na mi nimo" kwanini uliifuta nitakudai nyimbo hio daima milele

Kanjunju John3 年前
Oya nyingine tena 😳😳😳

Guru Voke 🇰🇪3 年前
@johny_johnie Hio ngoma kitu imekosa ni lines za stevo simple boy.

jerry3 年前
Aniii tulia kidogoo afta ramadhan tuu unaiachia

Ibrahim🇹🇿3 年前
King subiri kidogo maana MAHABA na NAKUJA bado zinasumbua mtaani 😁😁😁

kilele4real3 年前
Kesho itapendeza Mfalme wetu
