Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Last Sunday it was drama
132,328 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)
Комментарии: 23

😂😂 Ati kukonda si kutokula. Ni kunya sana

💀💀

Walifight for how long juu videographer ametupea mpaka drone shots na different angles? 😂

Bora wasiguze wagido

💀😂😂😂

🤣🤣hapo ni nyumbani tushauriane bana huyo mwenye anachapana anitwa vaite hii life ni interesting man

Hii mpaka iko na Executive producer 🤣🤣

Mtu wa mturaa amekua mtu rahaa , movie 6D

Sijawahi Cheka hivyo..eti kukuonda sio kutokula ila kukunya Sana 🤣

🤣🤣

😂😂

Haymaker valley

Mwenye mbio apishwe 😂😂😂😂

Yaani hadi kwa grao tunapigwa 😂😂😂

😂😂kijana alitolewa siskaaa

Content ya wanaume hii

Hiyo mbio hapo mwisho🤣🤣🤣🤣🤣

😂😂😂😂 hizi VO zinashika mbaya

Angebuy thufu😂

Huyo mrefu ameona atakufa akaamua kukimbia

@rileyarnie @_C_hacha @X_ChrisM kidogo master afanywe ivi ju ya banter 😂😂

Ni kama tumeingia month ya watu kupigana ovyo ovyo

😂😂😂 amekimbia kama ng'ombe
Похожие видео
Sensitive content
i almost forgot it was sunday happy marvelous sunday
Cyshen
70,925 просмотров • 3 месяцев назад

