Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
LATRA VS KATARAMA NAN KAONEWA??!! 😇
10 Yorum

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Hii chip zao nyingi zinaungua kutokana umeme wa gari hizo la Latra zinaungua sana hasa kwenye gari za umeme mwingi nadhan waliofunga kwenye katarama walifunga zinazoendana na umeme wa gari watu wa VTS wanajua maana katarama hana Kampuni ya VTS ingekuwa ni ya ulaghai isingetuma.

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Well said asee

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Haiwezeken kitu kama hicho kama ingekuwa anakwenda mpaka 120kph it means angekuwa nafika check point kabla ya muda na angekuwa anafika final destination mapema zaid kabla ya muda husika ,hizi zote ni chokochoko tu

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Izi chokochoko ni kulinda biashara za viongozi na viongozi wengi wamewekeza kwenye makampuni ya mabasi kwa kununua michina, mfano sauli alifanyiwa sana ivi bahada ya mh sipika kuwekeza kwenye zile za kijani za mbeya.

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Yaan

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Kwanini msimpe onyo au karipio kwanza??? Uwekezaji huo wote Mbona wengine mmewapa karipio na onyo,kwanini huyu? KUNA NINI????????

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Cha Kujiuliza Pia inakuwaje VTS ya Katarama inatuma Taarifa LATRA ilihali si Cha LATRA nani aliyefanya Configuration na Kuifanya VTS iendane na Mfumo wa LATRA

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Sasa kama anatembea kwa speed ya 120 mbona final destination wanafika pamoja na Allys na hata kama wakitofautiana ni kama dakika 10 tu

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Tunahitaji matokeo ya checkpoint je alifika kabla ya mda au ndani ya mda sababu hizo checkpoint zenu hazizuii ajali ndio sababu hakuna gari imewahi pata ajali ndani ya checkpoint issue ya usalama ni suala la dereva wa chombo husika kuweka umakini.

@BusesDaily @BusesNation @BusWorldTZ @climberJet @mwanza_buses @PabloYende @PiereTouch @SouthernBuses @TBoundBuses Mwenzako akinyolewa zako tia maji
