正在加载视频...

视频加载失败

Leo ni bora ziaid ya jana. #ChaummaforChange

35,176 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

SHAMA 的头像
SHAMA1 年前

Someni vizuri sheria za UN , hizi video zinaweza kuwa ushahidi mbaya dhidi ya child labour au chauma hakuna mwanasheria aliyesoma internation law??

kuringe sawere Timbiri 的头像
kuringe sawere Timbiri1 年前

Salaama mbona ni wanafunzi embu niambie kwenye hilo nyomi yupi mpiga kura 😂😂😂

Estadio Deportes 的头像
Estadio Deportes1 年前

NO HABRÁ MAÑANA 👊🏻 Esfinge, Valiente, Star Jr. y Zandokan Jr. se jugarán su máscara en el Homenaje a dos Leyendas. 💪🏻 La lucha será el platillo estelar del @CMLL_OFICIAL el 21 de marzo. 🫣 No te pierdas ningún detalle. #CMLL #LuchaLibre #lucha

J.M 的头像
J.M1 年前

Haya hapa ni Geita mjini nimepita hapo nimeona nyomi lenu 👏👏

KITINGI2021🇦🇮 的头像
KITINGI2021🇦🇮1 年前

Nyomi la watoto wadogo wakishangaa chopa

NYUMBU001 的头像
NYUMBU0011 年前

No reform no Election 🧐🤫🤔🤔

+255 的头像
+2551 年前

Labda nyomi la vuz* lako.

Mtaaluma 的头像
Mtaaluma1 年前

Hii ni aibu sana, hao watoto hawajui kuna uchaguzi mwaka huu. Lakini kama mfadhili wa project hii ameingia mkenke nyie endeleeni kujipigia pesa tu.

Walter Mathayo 的头像
Walter Mathayo1 年前

Nyie nufaisheni tumbo zenu anaetoa ndio mjinga jazeni watt staili ya maccm yy atoe pesa shahuri yake

相关视频