Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
"Leta ambullance......"
21,839 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

"Wakati natoka nje kuendelea kusubiri ifike saa tatu, ambao ndio muda wa Kesi, Nikasikia anasema, "Mnamuachaje huyo anaondoka tu hivi hivi", lika tokea kundi la maaskari wanawake wakani vua shati huku wakinikaba na kofia" Sikilza kilichoendelea.. Video kwa Comments 👇

Mnajua Mungu aliumba ardhi kwasababu gani? Aliiumba ardhi iwe sehemu ya alama ya maisha yetu, ardhi uhifadhi taarifa, wale waliotenda hao ardhi hiyo imeshuhudia, "KARMA" Whats Goes Around will always comes Arounds. Ninyi chadema, msife moyo.

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Kuna haja ya kutembea na silahaa ni full kuchukua Sheria mkononii Hawa watumwa wa uniform wanajiona wamemaliza sanaa

story naration sijaielewa kabisa hebu ungerudia nielewe ila usirudie maelezo haya haya utanichanganya zaidi

It's very sad,haki tuidai kwa nguvu zote,hii haikubariki

😭😭😭

This is bad 🙌🏽

Daah!! EE MWENYEZI MUNGU Kila aliehusika laana na mabaya yakamkute yeye na vizazi vyake vyote.🙏

Unakuta aliyeua sa hv kashika kijiko anakula na wanae fresh tuu, hawazi ata…

Karma is real, hiii imeniuma sana
