Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Leteni receipts basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #FreeAoko
87,307 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Watu wanaweza dhani unajoke na ni serious 🤣🤣..kwanza hao wa speeding siiet

Aki si uku nje mnafikiria kama wajinga😂😂

Kenya Ukifikiria Kama mwerevu uta impeachiwa 😂😂

Hujashika total-kericho from chepseon unapata stops kama nne to kericho na ni a distance of under 15km

Hapa Mombasa - Voi stretch, every police station close to the highway wako na squad kwa rd. Unaanza na Makupa, changamwe, Jomvu, Mazeras, mariakani, Tatu, Mcnon, Maungu, Voi. Mara yellow line au toa za maji. Too much 😔

Kwani nini hii inaangaliwa every few Km 😂😂

#FreeAoko

Traffic hawananga kazi....na hakuna mtu wa traffic alienda haiti

Traffic hata hawatakangi kwenda leave, wanapewa na wanarudi wanajua ni wakora sana

Umesema Aoko ama Hogo
