Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Levels baby! Shikamoo GSM 🫡
444,609 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 39

Kuna wadada birthday zao wanamwagiwa maji kama ni ubatizo😂😂😂

😂😂😂

Mfanyabiashara mwenzangu GSM😌

Alafuu kuna Mporipori mwenzako anakuambia wewe sio type yake yanii 😂😂

kuna watu wanaishi aiseee

Birthday ni haram

Wifi yako asiione hii.

😂😂

Kuna namna imenigusa, enewei wacha tuendelee kusaka mavumba. HBD kwake

Tuomwagiwa maji siku zetu za kuzliwa tukusanyike hapa kidogo 🤣🤣

Kwanza kadri sku znavozidi kwenda na umri unavozidi kusogea plus hii hali ya uchumi. birthdays kwangu ndo znazidi kuwa haramu 😁

90% of women hawana shida kuwa 2nd,3rd hata 4th wife ya watu wa level hii ya wealth 😃

Yani artists wetu wenye hela ndo wamekuwa MC’s 😂😂 vijana njaa hawa

Utasikia "zawadi hii ni seheme ya kidogo nilichanacho"....kidogo gani yani kidogo which😊

Ipo siku

Kaz za dimpoz izo kuchek location,kuorganize events na Kufanya matangazo Gsm yaende uzur anatoa mashavu kwa wasanii wenzie kama hapa jux kubadilisha uo wimba kavuta vumba so mchezo😀

Mbona sisi boss wetu huwa mnamsema sana wenue mambo kama haya? 😀🙌

Lete tuone post kama hii ya Boss wako 🙈

Boss wetu mna mnanga sana bwana! Ooh matajiri hivi mara vile....kumbe kwenu ni mambo ya kawaida kabisa show-off?? 😀🙌

Bila ushahidi hapa imekula kwako 😂😂😂

Mie najua wengi wamenielewa

The way I love jewelry I was just looking at that Tanzanite, Pesa nzuri.

hii birthday!!!

Aiseee dope.

We live to create memories.

Muislam kufanya huu upuuzi ni dhambi kubwa sana

Wakitupiwa majini waseme ety tuna wivu 🚮🚮🚮

Truth is Behind every successful man Kuna a Very Humble Respectful woman. A woman that gives you that and has always been there to support you desrves everything. Infact she becomes Priceless. She earns that and as a man you must prove that. Hawa wengine asks to be spoiled.

Kuna watu wanaishi🙌🏾Kikubwa unapumua hakuna tatizo😂😂

Pipo zinaishi halafu kuna sisi tunaishia aise

Kitakachoshangaza kuna wadada watataka besidei zao ziwe hivi hivi sasa mimi ni mtu tu wa kitaa unataka nifanye besidei kama iyo si ndo kutaftiana uwehu

Birthday ni haram

Sio poaa

Sidhani kama mke wa GSM hata kama yupo X, hawa wasimbe sasa wanaoacha store zao na kwenda piga picture kwenye mahoteli walivyo na nyodo.

@amprincess9 Mapenzi pesa

😂😂😂

God when?

Wow! That's awesome😍

Hii bajeti ya Harusi aloo 🙌🏾
