Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ligi ya Bongo hakuna siri 😂😂
35,729 görüntüleme • 2 gün önce •via X (Twitter)
9 Yorum

Given Mkonongo2 gün önce
Kipi kipya alichozungumza hapo? Katika mechi zote za ligi Unaweza kusema yanga anashinda mara 30 na akashinda zote. Hizo team hapo juu hazipotezi zaidi ya mechi 2 kwa msimu. Droo less than 4. Common sense tu katumia.

Charles Yohane2 gün önce
3+ ikaenda wapi?

𝗠𝗮𝗰𝗮𝗿𝘁𝗼𝗼𝗻𓃰2 gün önce
hii si ni correct score hata ulaya inatokea cha ajabu ni nini we kumer

balldancer942 gün önce
3+ maanake n 4 sas amepata ameliwa?

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™2 gün önce
Hana maajabu yeyote

Ahmet Deniz 🇹🇷🇹🇿2 gün önce
Mwamba balaa

777BetTz2 gün önce
Anhaaaa

Bonusbet Tanzania2 gün önce
Mipango

Ai Tanzania2 gün önce
@KapingaMashaka Bahasha hii niliambiwa mapema
Benzer Videolar
1:54
Sensitive content
Simu ya INJINIA anayo MANARA.😂🫵🏾 Bodi ya ligi wanavuta Nyuzi anazipokea BUGATI🫵🏾😂
SIR TIVA
77,508 görüntüleme • 1 yıl önce
