Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

67,784 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von KIDUKU
KIDUKUvor 1 Jahr

Mdahalo Wa LISSU/HECHE Na MBOWE/WENJE Utakuwepo Kaka ODEMBA?

Profilbild von Trump2024Film
Trump2024Filmvor 2 Jahren

🇺🇸🇺🇸🇺🇸 AMERICA FIRST 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

Profilbild von Mwl. Macheyeki Philbert Jr
Mwl. Macheyeki Philbert Jrvor 1 Jahr

Bila Mbowe kuingia na Pambalu sijui ingekuwaje. AIBU imeanza mapema sana kabla ya Jan 21.

Profilbild von Peter Msigwa
Peter Msigwavor 1 Jahr

Wali wa kushiba unauona kwenye sahani🤣🤣

Profilbild von Kunta Kinte
Kunta Kintevor 1 Jahr

Kuna watu waliimba sana wana imani na Lowasa, ila kilichofuata, sote tunafahamu. Wajumbe sio watu 😂

Profilbild von WISDOM
WISDOMvor 1 Jahr

Lisu ni kama Aziz Ki Kapiga Goli Kali la kikatili katika Uchaguzi wa Bavicha.😅😅

Profilbild von Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎vor 1 Jahr

Shangwe la mbowe linaonekana kabisa ni la kulazimisha. Yani walinyanyuliwa na MC kabisa hawa

Profilbild von Mr-Benard
Mr-Benardvor 1 Jahr

Yule mgombea wa Bavicha aliyeamua kumuunga mkono Mwenzie ni mfano wa kuigwa sana, ni kijana mdogo lakini timamu kisiasa, hapa kuna dalili zote Mbowe anakwenda kushindwa kwenye uchaguzi, jambo ambalo litamuacha na sonona ya maisha, muhimu sana angeamua kutangaza kumuachia Lissu.

Profilbild von Mdunguaji
Mdunguajivor 1 Jahr

Kuna ndugu yangu ameniweka sawa acha nimnukuu anasema Watanzania wenye Akili wanamtaka Mbowe ila wenye Akili Timamu wanamtaka Tundu Lissu,sauti ya wengi ni sauti ya Mungu🙏

Profilbild von Kaka Mkubwa
Kaka Mkubwavor 1 Jahr

Mshua anafosi tuuu, Chama kitaenda kuwa kama TLP ya LYATONGA, ILIKUWA KIRARACHA TU, HAKUSOMA NYAKATI..WATZ SIO WAJINGA WAKIKUGUNA TU MHHJ!!! HUYU KWAISHA..

Profilbild von Markseven
Marksevenvor 1 Jahr

NTOBI na Mzee wa MIZIMU, mbona Leo hawajaimba TUVUSHEEE MWAMBAAA sijawasikia kabisaa Kule kwao kumepoaaaaa like Zzzzzz. Au Walioko Kule Kwa LISU kwenye Shangwe teleee wotee ni "Wana X Republic" si nilisikia et Wapiga shangwe wotee siyo WAJUMBE ni WAKUNJANGUMI wa Mtandaoni..?

Ähnliche Videos