Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Maafa Ya Saba Saba: Risasi Hadi Sebuleni Binti wa miaka 12 Bridgit Njoki aaga dunia baada ya kupigwa risasi akiwa ndani ya nyumba yao Kiambu. Familia zingine kutoka Kiambu zinapigania haki dhidi ya mauaji ya kiholela. #NTVJioni Nicholas Wambua

13,554 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von The Kevin Bett
The Kevin Bettvor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Justice for her .. so sad .. this is rogue practice

Profilbild von Dan_Omar 254🇰🇪 🇰🇪
Dan_Omar 254🇰🇪 🇰🇪vor 1 Jahr

@nicholaswambua_ The same scenario as the one of BABY PENDO..demos/protests are never healthy to our country...

Profilbild von Nathaniel Deadass Kimathi Gesio CDFP
Nathaniel Deadass Kimathi Gesio CDFPvor 1 Jahr

@nicholaswambua_ The orders @kipmurkomen gave

Profilbild von Mafusho Alex
Mafusho Alexvor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Who-ever has come up with this is a fool! How, how? Propagating entitlement. This is what all of us are fighting!

Profilbild von Odiara O. Simo
Odiara O. Simovor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Demos aren't good for our country. Condemn demos and denounce

Profilbild von Mashariki Mwangi
Mashariki Mwangivor 1 Jahr

@nicholaswambua_ @kipmurkomen & @WilliamsRuto will never escape. Ruto escaped Hague but we will see if he will escape sovereign citizens prosecution. His advisors are misleading him that even during their times they fought but no one was held accountable. #ArrestEliudLagat #SiriNiNunbers

Profilbild von Soar above🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Soar above🇰🇪🇰🇪🇰🇪vor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Killing innocent children in their homes is blasphemy an unforgivable sin. This regime has become a death cult, sacrificing children under 11 years old. What kind of monsters gun down babies in the safety of their own homes? Hell itself would reject such evil.

Profilbild von Silvia Wangare
Silvia Wangarevor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Where was he aiming???

Profilbild von Sam Kibe
Sam Kibevor 1 Jahr

@nicholaswambua_ Wanaacha goons wakiiba, wanakuja kutafuta innocent children in their homes. Shame on this govt!

Profilbild von Mr. Slim
Mr. Slimvor 1 Jahr

@nicholaswambua_ They rob the poor, shoot the brave, and still call it governance.

Ähnliche Videos

HABARI MBAYA NA YA KUSIKITISHA KUHUSU MAUAJI YA NYAMONGO, TARIME. Leo mwili wa marehemu Emmanuel Nyakorenga mkazi wa kijiji cha Kewanja ulipasuliwa na kufanyiwa uchunguzi. Madaktari na Polisi walioshiriki zoezi hilo,Walitoa risasi ndani ya mwili wa marehemu Kisha wamekimbia na risasi waliyotoa mwilini na kutelekeza mwili wa marehemu na ndugu zake wakiwa Monchwari. Ndugu wanasema Madaktari na Polisi walipotoa risasi,walichukua risasi iliyotoka mwilini,Kisha waka aga wanaenda kufuata muhuri ili ndugu waweze kusaini fomu za uchunguzi. Madaktari na Polisi walipofanikiwa kuchomoka na ile risasi ndani ya chumba kile cha kuhifadhia maiti wamekimbia speed na hawakurudi tena hadi usiku huu. Ni uthibitisho kwamba Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Madaktari hawakenda kufanya uchunguzi bali kwenda kuharibu ushahidi juu ya nani alimuua Marehemu Emmanuel Nyakorenga na Bunduki ya nani ilitumika kuua. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu huu ndiyo utendaji kazi wa Jeshi lako la Polisi..? Na hiki ndiyo kielelezo na ushahidi wa wazi juu ya mauaji ya raia kwa nchi nzima. Nimeongea na ndugu wa Marehemu Emmanuel Nyakorenga wagomee kuchukua maiti ya ndugu yao mpaka aliyekimbia na risasi apatikane na awajibishwe. Hakuna kumzika Emmanuel Nyakorenga mpaka tuone waliohusika na mauaji wanawajibishwa. Hakuna kuzika mpaka kamanda wa Polisi Kanda maalum pamoja na ZCO wake Tarime wawajibishwe kwa Mauaji ya raia wa Nyamongo. Sikiliza ndugu wakisimulia uhuni ulivyofanyika👇👇👇👇👇👇

Boniface Jacob

68,982 Aufrufe • vor 2 Jahren

POLISI WAWILI WAUA KWA MAAGIZO YA MKUU WA MKOA CHALAMILA. 1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa. 4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club) 5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao. 5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo. 6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu) 7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali. 8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa. 9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila 10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake. Video za chini zikionyesha polisi hao wanafyatulia watu risasi. Boniface Jacob - Ex Mayor

Boniface Jacob

259,237 Aufrufe • vor 2 Jahren