正在加载视频...
视频加载失败
Maandalizi ya burudani ya Wananchi🔰💪🏽
26,291 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Sijo1 年前
Nasikia kuna jamaa kasema hawaogopi na kafika juzi Mi nikikumbuka lile kono la nyani roho inaumaaa Wazee nyie mnajua ballo bana

Cliton Michael1 年前
Beki za Simba zijiandae, ni zaidi ya Air Force One😂😂😂

Mr Geo1 😎1 年前
Tunategemea mtupe burudani safi ligi ya mabingwa Afrika kila la heri 🔥🔥

Msigwa ibra1 年前
Makombe yote yanga💥💥

Revocatus Shirima1 年前
ʜᴀᴛʀ

Mbaade 🤠1 年前
Sijui kama wataleta timu uwanjani wale vilema

WASHADATA1 年前
Fanyeni kila linalo wezekana gape la point mbili tulichukue kwao, gharama zozote tumien ikiwezekana mniambie nimtumie mganga wangu

Exit™Walker, Nzengeli1 年前
Game plans only

Dokta suley1 年前
Yanga bingwa

Majengo SS Jamal 🇹🇿1 年前
Hatari na nusu
