Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Maandamano ya Amani

52,019 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Cool Fella1
Cool Fella12 лет назад

HakyaMungu ningekua nauwezo wakiMungu au Kishetani ningeamuru upate kilema (siyo kufa) uone hasira ulizopanda ndani yangu kwa Usaliti wako wa Chama. Ila sina huo uwezo nabaki na hasira hasara tu. The audacity to post this. Die maybe bih

Фото профиля Aneth Stanley
Aneth Stanley2 лет назад

Majambazi hawatakiwi humo

Фото профиля Gibson
Gibson2 лет назад

Esta dada Angu ni wewe😜

Фото профиля Kiongozi🇹🇿
Kiongozi🇹🇿2 лет назад

Hivi kwanini dada Ester na wenzako hamtaki kutafuta suluhu na chama chenu? Kama tatizo ni ubunge kwanini msijiuzuru huo ubunge mtafute Amani na chama.??

Фото профиля Tundu lissu 2025-2030.
Tundu lissu 2025-2030.2 лет назад

Sasa hivi ungekuwa hapo sema ulipenda Pesa.

Фото профиля Josh
Josh2 лет назад

Kamanda hakuna adui wa kudumu katika siasa. Hebu rudini kundini, kuchutama sio dhambi Esy @halimamdee @Matiko_Esther_

Фото профиля YUSUFU ESTON
YUSUFU ESTON2 лет назад

Esta,tulizoea kukuona na wewe ukiliamsha,leo haupo unaturushia tu picha!kamanda tubuni mrejee mapema tuliamshe zaidi hadi bunda.mwambie na sauti ya zege leo angekiwakisha pale kawe!

Фото профиля FrankTz🇫🇷
FrankTz🇫🇷2 лет назад

Hakuna mtu nilikua namkubaligi kama wewe

Фото профиля Kusekwa
Kusekwa2 лет назад

Haujaenda kuungana na chama chako??

Фото профиля Chairman
Chairman2 лет назад

Kama huwezi taja gharama yako ukinunuliwa basi maandamano kwako siyo kauli ya kufurahia

Похожие видео