Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Macho yake tu yamekaa kitapeli 😂
28,911 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)
29 Kommentare

Anatak uzia watu takataka huyoo😂😂

😂 😂

Jau san hiyo jamaa na anachekelea kbsaaa mbwaa Takatak huyoo😂😂😂

Si kasema copy mazee, utapeli wake nn sas 😂😂

Nimeagiza iphone 12 pro from Dubai nimelipia 1.2M, hizo bei za huyu jamaa mbona nizakitapeleki kabisa.. yani haingii akilini

Muwe mnasikiliza kasema anauza Copy.

Ashakupost huko😂😂😂

Imeenda 😂

Haha so poa😂

😂😂

😂 😂

Siku hiz kila mtu anaend Dubai kutununulia Simu na pc

“Copy yake” imesemwa kimkakati sana

Falla kweli

😂😂

Jambazi

Yuko sawa amesema ni copy

Kwani me nimesemaje 😃

Siku nyingine Muwe mnauliza kabla ya kusema watu wa ongo, haya kesho nenden ubungo stand ya zaman karb na ofisi za kimbinyiko ulizien Mgaya used furniture.. ndio uyo na sio tapeli. Shauri lenu

Io kam hii

Mwizi

Izii simu zipo zimejaa kibao mliman pale😂

🔥🔥🔥

Huja sikia kuwa n copy mzeh au kila mtu unazan n tapel kama wewe

😂 😂 😂

Kumbe bei kitonga kabisa lakin bado maokoto hatuna

Laki tatu 😂😂

Watu wengi wana comment kabla ata hawajasikiliza jamaa ana ujumbe gani? Kisha waambia Iphone hizo ni copy?...?

Kuna jamaa pia yupo Dubai sema yy hizo COPY anachukua kwa 250k ,, Anapatikana moshi anaitwa Kilasi investment unaweza kumsearch hata IG au tiktok . Hata mm nimemwagiza moja
