正在加载视频...
视频加载失败
Madam #Brenda the woman show ✌️✌️✌️✌️👇👇👇
44,625 次观看 • 3 天前 •via X (Twitter)
24 条评论

Bro nikuambie kitu? I think umesharahisisha habari na namna ya kuweka case ile live updates in picture, Chukua kwanzia ep 1 mpk ya leo 354 feed kwenye hiyo AI generator tupate documetary nzima ya live Updates then tutoe public hapa hapa twitter watu waanze kufatilia live stream

Let's do this more umma utakuwa unajua zaidi wanao muhukumu Lissu wanalengo gani

Hii safii sana kweli vijana mpo kazini

SALUTE kwako Asee Tengeneza Nyingi

Tengeneza nyingiii nyingi

mawakili wa serikali hawana tofauti na wauaji, mrahaniwe

❤️

Hii ndio faida ya teknolojia

AI 😳 ni usenge

Alafu kuna watu walimpa lawama mh. Lissu kumteua brenda rupia

😂😂😂

😂😂😂😂

Eiai

Hii nzuri

🙌

Inapendeza

😂😂😂😂

AI. Nayo mnatumia ..asee 😂🤐

Duh

Daaa!

😆😆

Dadaenu amelazwa chalii saiv mnatumia AI

😃😃😃

Dah 😂🙌
