正在加载视频...
视频加载失败
Madenge ana hoja, asikilizwe
53,047 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Sia Da Vinci💎1 年前
Niliwaambia, Democrasia ni Rahisi sana kuitamka. Ila inapokuja kwenye kuiishi sasa.

Local V. 🌾1 年前
anaohoja asikilizwe sasa naelewa aliwezaje kwenda ukweni kula sikukuu kama hana wazazi.😁

Presenter Noah1 年前
Unampangia mtu wapi akale sikukuu

Deograsius Andrew🇹🇿1 年前
Wakikutana Madenge huyu aliyeng'atua hoja mujarabu juu ya watu kuachia madaraka na kupisha vijana na madenge huyu anayemnadi FAM sahizi licha ya kukaa madarakani zaidi ya miongo miwili wanaweza pigana kuanzia sahizi mpaka kesho asubuhi. 😂😂

Latto 𝕏1 年前
Kabisa ✅️

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 年前
😆😆😆

Presenter Noah1 年前
We utoke hapa 😂

Football Analyst ⚽️1 年前
Mbona anayoyafanya kwny hii issue ya CDM hayaakisi anachokiongea kwa kifupi ni mnafki alichoongea sio anachofany ss ivi

Rick Issaya1 年前
Wew n mnafkii kichizii😁😁😁😁

Presenter Noah1 年前
Tena 😳, kosa langu nini hapo?!
