Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Maelezo mazito ya Dr Silaa kuhusu Mwamba na Samia
123,931 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Nadhani mmeelewa kwa nini Dr. Slaa alikamatwa jana usiku wa manane. Hayo ni maelekezo toka juu ya kwa nini anatoa siri za watesi wa wananchi. Mimi binafsi nilishaiandika hii na kusema Mbowe alishakubali kufuata utaratibu wa CCM toka mwaka 2008. Sisi tumo ndani tunajua kila kitu.

Enyi wajumbe hizo pesa chukua zitumie ila siku ya uchaguzi hakikisha unatiki kwa TUNDU A. LISSU na JOHN HECHE. MUNGU AWABARIKI SANAA.

Stories from defector Slaa. Ye aseme tu ila ikithibitika si kweli atasafishaje huku anapochafua? If Mr Mbowe needs Money asingehitaji kutoka kwa Samia. Mbowe ana watu wengi sana wakumpa hizo pesa kama ninkweli anazihitaji

Huyu huyu Dr Slaa ambae wakati anakunywa mvinyo akiwa Balozi kule Sweden alituambia kuwa Mbowe ni gaidi?

Kuna mambo ukisikia mtu mzima anaongea kama hauna akili ya kuchambua ndo unayabeba kama yalivyo...Stori za Abunuasi kabisa hizi.

Ashawahi kusema chadema tunjiteka wenyewe huyu huyu!! Leo anatoa taarifa za kidwanzi namna na mnaona anaongea ukweli aseme kwanza chadema walimteka ndipo tumuamini huyu mzee alivyoogopa tu bunduki enzi magu basi amekuwa akitanga tanga tu Bila kujielewa!!

I'm Chiitan Japanese crazy mascot☺️Chiitan loves death metal💀💕

Pongezi Kwa JESHI LA POLISI HUYU AKATHIBITISHE HAYO MADAI YAKE POLISI AWATAJE HAO ANAOWAITA VYOMBO VYA USALAMA TUMETULIA NA AMANI ANATAKA KUTULETEA VURUGU

Kwamba Mbowe hana hela ya kuhonga hadi apewe na raisi, nonsense!

Tukirudi nyuma tukumbuke huyuhuyu DR.Slaa alisema Mbowe ni Gaidi. Kikwete aliwahi kusema za kuambiwa changanya na zako

Mungu nisaidie uzee wangu usiwe wa ovyo namna hii, uzushi na uzandiki ndio character ya Slaa
