Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Maharagama kasun

12,194 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)

0 Yorum

Yorum bulunmuyor

Orijinal gönderinin yorumları burada görünecek

Benzer Videolar

VIDEO: Wanachama 41 wanaojumuisha viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga wametangaza kujivua uanachama wao kwa kile walichokiita “ubaguzi, upendeleo na kukosekana kwa demokrasia ndani ya chama.” Wakizungumza mbele ya waandishi wa habari siku ya Jumatano katika tamko lililosomwa na Furahisha Wambura, aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya wengine, viongozi hao wamesema wamechoshwa na kile walichokiita "unyanyasaji wa kimakundi dhidi ya waliomuunga mkono Freeman Mbowe" kwenye uchaguzi mkuu wa chama uliofanyika mwezi Januari, 2025. Viongozi hao wameeleza kuwa wanahisi kutengwa, kudhalilishwa na kupewa majina ya kejeli kama vile "wasaliti" kwa sababu ya msimamo wao wa kumuunga mkono Mbowe katika uchaguzi wa chama ngazi ya taifa. Aidha, wamelalamikia wanachama kuvuliwa nyadhifa na uanachama bila kuzingatia Katiba ya chama, wakisema hatua hizo zimekuwa zikichukuliwa kwa hisia na misimamo ya makundi. Viongozi hao pia wamehoji msimamo wa CHADEMA wa No Reform, No Election, wakisema haukuwa na mkakati wa kweli wa kuzuia uchaguzi, na kuwa kila aliyetoa ushauri tofauti alionekana msaliti. Wameongeza kuwa chama kimeteleza katika kusimamia misingi ya demokrasia, uhuru wa maoni na kusikiliza sauti tofauti ndani ya uongozi wake. Kwa mujibu wa Wambura, wanachama wengine ambao bado hawajatoa tamko lao hadharani, watafanya hivyo katika siku chache zijazo.

Jambo TV

31,320 görüntüleme • 1 yıl önce