Loading video...
Video Failed to Load
#Maisha #sorry kwa watakaokwazika🙏
10 Comments

Hii sauti nlijua ni ya kutangaza mpira… kumbe unaongea hivyo ukiwa serious 😅

Mtu anayedharau chakula haijui njaa, uzuri haya mambo unajifunza through experience.. ni suala la muda 😂😂

Kama kuna mtu atakwazika kwa hiki Basi na mimi naamini hawezi kuwa mzazi bora kwa wanae na kizazi kijacho! Upo sahihi 100%

Mzazi anasema yani mm nimekuwa kwa mateso na mwanangu ateseke haiwezekani ila pumba na mchele ni baada ya matendo hayo.

Kwa hakika Wazaz tunatakiwa tubadilike haswa vijana malezi yetu sio mazuri kwa watoto wetu

Hakika @upete_nazareth , huruma siyo malezi

Issue ya malezi (mtoto kudekezwa) na issue ya Pesa/umasikini nadhani ipo separate kabisa na jinsi mtoto anavyolelewa. Wapo wengi sana ambao wamelelewa huku wakipata kila kitu LAKINI wapo na nidhamu ya Pesa vilevile wapo kapuku lakini katika maisha hawana nidhamu ya Pesa.

Kudekeza sana watoto ni jau atakutia fedheaa mda wowote ule

Akili kubwa sana hii

Kaka umeongea kitu cha maana sana... Mwenye kuelewa ataelewa...
