正在加载视频...

视频加载失败

56,534 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

31 条评论

geofrey michael 的头像
geofrey michael3 年前

Duh kweli wanasiasa wengi hawana hoja yoyote zaidi ya kuongea utopolo tu.

Che Cliff 🇷🇺 的头像
Che Cliff 🇷🇺3 年前

😂😂😂😂 "Kwan Hamjua Kwamba Ni Mjomba Wangu Yule." Kuna ka adabu flani kameingia, ka hofu, ka mashaka, ka wasiwasi...Njoo LEMA mjomba wako kakumiss

Augustino 的头像
Augustino3 年前

Ukimtaja Lema kwenye jukwaa unazidi kupunguza kura zako, nakushauri Bure kabisa usimtaje Lema kabisa itakusaidia. Ni ushauri tu lakini.

Hekimatupu 的头像
Hekimatupu3 年前

Mkuu mwache ajifurahishe na chawa wake. Mh Lema hapaswi kabisa kumjibu, maana atampa ujiko/umaarufu ambao hastahili.

Depedro Dee (Ed.S.) 的头像
Depedro Dee (Ed.S.)3 年前

@godbless_lema shakuterewa wooi mbe... Wuya kyen lulakane na nndu yeu.

Giiti SN 的头像
Giiti SN3 年前

Gambo ameshadata tayari, ameanza kunena kwa Lugha mapema sana.

Malick 的头像
Malick3 年前

@godbless_lema nilimsikiliza Godbless Lema nikiwa mdogo kupitia kwa Redio , @TBCtaifa , kwenye kipindi Cha uchaguzi walikuwa na kipindi kinaitwa “Mchakato Majimboni” kitu hicho. Kuongea kanakwamba mambo yameshatokea, hiyo binafsi ilinikosha.

ULIZA MDUDESOKA 的头像
ULIZA MDUDESOKA3 年前

Kuruhusiwa kwa mikutano kumewavuruga Ndezi wote waliopita bila kupingwa. Wanaona Salama yao ni kutembelea nyota ya viongozi wa CHADEMA.

Ndunguru 的头像
Ndunguru3 年前

Anavyoongea tu hajiamini na watu wamemshtukia

Shadrack 的头像
Shadrack3 年前

Atunze maneno hilo jimbo ni la lema,akumbuke aliyemuweka hapo ni nguvu ya mtu mmoja tu

Reuben3453 的头像
Reuben34533 年前

Lema njoo uone huku ndugu yako ameanza kujamba @godbless_lema

Watu Huru🔻 的头像
Watu Huru🔻3 年前

Batilda tulimpa mimba hewa huyu sijui tumpe nini?

RC 的头像
RC3 年前

Nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa kidato cha nne, Baba yangu alinitazama usoni na akaona nina hofu kubwa - Akanambia "Mwanangu Hofu yako haina msaada sana kwa sasa zaidi ya kukuchanganya akili" Gambo ana hofu kubwa kwa kumuangalia tu..hofu haina msaada Mh.

@See your self 的头像
@See your self3 年前

Hii ilikuwa comedy show ??

Alien 👽👽 的头像
Alien 👽👽3 年前

Hiyo ni uongo

RamDan🌿Gwataman 的头像
RamDan🌿Gwataman3 年前

Gambo ovyo sana

Elibahati Mamuya 的头像
Elibahati Mamuya3 年前

@godbless_lema Aisee unamsikia huyu jamaa..?! Njoo uchukue jimbo lako, huyu hamna lolote, labda tu ufanyike uchafuzi na sio uchaguguzi kama ilivyokua kpnd cha mwenda zake!! Njoo home Kamanda

Ma'odo 的头像
Ma'odo3 年前

Ndo kaongea nini sasa hapo?

Massanja M.Mpinah 的头像
Massanja M.Mpinah3 年前

Mbona kama ananena Kwa lugha mapema hii 😂🤣

Ba Glady 的头像
Ba Glady3 年前

kumbe jamaa ni senge kweli

LemmeEmKnow 的头像
LemmeEmKnow3 年前

Hahaha kuna watu vichwa vinawauma.Gambo alishinda au alipewa na Magufuli na tume

gesase Mrimi 的头像
gesase Mrimi3 年前

Mbona Kama vile amebahaa hata hajui anachoongea

barakaeli Nnko 的头像
barakaeli Nnko3 年前

Pumba kabisa

NJIA NI YESU 的头像
NJIA NI YESU3 年前

Huyukapanik wala hawezishindana na Lema

Doni Mkello 的头像
Doni Mkello3 年前

Ivi anajua anachokiongea huyu

Loth .Olais.Motika 的头像
Loth .Olais.Motika3 年前

Yaani umeonyesha jinsi ulivyo dhaifu kisiasa ,watu wanataka kujua ufanya nini ? Arusha ,wwe unatuletea upuuzi

Shayo 的头像
Shayo3 年前

Haya ni madhara ya kuwekwa kwenye kiti kwa dhulma,presha haziishi

Kevin 的头像
Kevin3 年前

Washaanza kutapatapa. 😂😂 Tarehe 21 tunakiwashaa.

Active Shooter.. 的头像
Active Shooter..3 年前

Mbona amepaniki.

mutey15 的头像
mutey153 年前

Bwana Lema tunakuomba usimjibu chochote msenge huyu,nguruwe pori,tuachie sisi tumjaze shahawa mdomoni mwake kwa sababu ana kiu sana! ok?

beberu mweusi 的头像
beberu mweusi3 年前

Anaongea kwa hofu sana! Kama alisema serikal walikuja na kondom na mafuta la lotions huyu yupo salama kweli?

相关视频

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiunga Kingu, akae pembeni ya majukumu yake kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban Mkwanywe na kuanzia leo June 30,2024 ameiweka DAWASA chini ya uangalizi maalum wa Wizara ya Maji ili kuboresha utendaji wake kufuatia uzembe uliopelekea visima kukosa maji na kufanya Wakazi wa Dar es salaam kukosa maji. Aweso ametangaza uamuzi huo leo baada ya kufanya ziara ya kimkakati na ya kushtukiza katika Ofisi za DAWASA zilizopo Ubungo Dar es salaam ili kupata maelezo ya Watendaji ya sababu za Watu kukosa maji na baada ya kushindwa kuridhishwa na majibu aliamua kuzungukia matanki ya maji katika maeneo manne tofauti ikiwemo tanki la Ardhi UDSM na Kibamba huku akituma Timu nyingine kwenda kukagua matanki ya Kigamboni ambapo imebainika matanki kadhaa hayana maji huku mengine yakiwa na maji kidogo ukilinganisha na mahitaji ya Wananchi lakini Watendaji wa DAWASA wameshindwa kueleza sababu iliyopelekea uhaba huo wa maji. Aweso amesema “Mwanzoni kulipokuwa kunakosekana maji tulikuwa tunasema shida ni vyanzo vya maji vimekauka hakuna maji, TANESCO umeme hamna lakini leo vyanzo vyote vina maji, umeme upo, niambieni kwanini hatuna maji kwenye matanki?, kwanini Wananchi wanateseka, wanalalamika wanapiga kelele kwenye Serikali, niiombe Bodi kama CEO DAWASA hajaenda likizo kidogo akakae likizo kwanza atuachie nafasi yetu tutaisimamia wenyewe” Ziara ya Aweso leo imekuja baada ya ziara ya Katibu Mkuu wa Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri aliyoifanya kwa siku mbili kujionea utendaji kazi wa DAWASA na hali ya upatikanaji wa maji Dar es salaam ambapo amebaini uzembe aliouwasilisha kwa Waziri Aweso leo ikiwemo miundombinu ya maji kuwa chakavu, maji kupotea bila usimamizi, Watendaji wa DAWASA wa ngazi za chini kutopewa stahiki zao muhimu na kupelekea kufanya kazi bila hamasa nzuri na hata kupelekea kuwajibu vibaya Wateja wa maji. #MillardAyoUPDATES

millardayo

66,035 次观看 • 2 年前