Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Makofi mengii kwa Semaji la CAF

60,226 views • 1 year ago •via X (Twitter)

9 Comments

Kiungo Mkomavu's profile picture
Kiungo Mkomavu1 year ago

Kuna wakati Msemaji unatakiwa ulie pamoja na wenzako wanao Lia , Muda Huu watu tunaomboleza Msiba wa Kiongozi wa Chadema aliyetekwa na kuuwawa kikatili, wewe upo bize na mambo ya kujiita semaji la CAF, wanaotekwa na kuuwawa Ni pamoja na mashabiki wanaofanya wewe ujiite semaji

Malalo Adam's profile picture
Malalo Adam1 year ago

Tuna msiba muwe na huruma basi japo sio wa familia yenu

MZARAMO's profile picture
MZARAMO1 year ago

Medi uku kuna msiba,,, acha utoto medi

Bahati Shio's profile picture
Bahati Shio1 year ago

Wewe wenzako wanatekwa na kuuwawa kikatili unatueleza habari ya makofi mengi, kuna siku mtafikiwa na mtaungana na wananchi wenzenu kunena lugha moja😏😏😏🚮

PEng. Seth Wilson's profile picture
PEng. Seth Wilson1 year ago

Ww naye, kila wkt mipira badala ukemee utekaji, siku yakigeukia kwako tutakaa kimya wakunyonye...

ℤ𝕀ℂ𝕆's profile picture
ℤ𝕀ℂ𝕆1 year ago

Yanayoendelea kwenye nchii hii huyaoni au ndo hayakuhusu inawezekana mzee aliyeuliwa alikuwa mwanachama wenu na shabiki yenu mmebakiza upambe tuuuu

888's profile picture
8881 year ago

Tunaomboleza kenge ww

𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿's profile picture
𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿1 year ago

Semaji la FIFA 🔥😹

Iconic 👑's profile picture
Iconic 👑1 year ago

Afu na wew ebu acheni upumbavu...yaani watu ambao ni mashabiki wa timu zenu wanaofanya nyie mnaishi na kuzidi kupiga hatua watekwa na kupotezwa kila siku lkn Mmekaa kimya tuu hamsemi lolote Saiv unakuja hapa et makofi mengi sanaa Makofi ya nyokooo🚮

Related Videos