Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Makubwa, kwamba serikaili nini? 😂😂😂

116,936 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Mastery
Masteryvor 1 Jahr

Ccm ndio wanapenda vyande kama ivi😁 Huyu anaweza chambua GDP , import-export imbalance, Local Ppl Natural resources ownership agenda,inflation effects, Our Purchasing Power Failure na role ya goverment to Remedy? Taka taka kama hizi ndio zipo nyingi kweli🚮

Profilbild von Emmanuel Mwita
Emmanuel Mwitavor 1 Jahr

Heshimu mkuu wa Wilaya wewe jamaa, 😂😂😂

Profilbild von Rock Paper Sizzle
Rock Paper Sizzlevor 2 Jahren

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Profilbild von Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophilevor 1 Jahr

Aiseee huyu anaweza kua mkuu wa wilaya

Profilbild von Emmanuel Mwita
Emmanuel Mwitavor 1 Jahr

Mapema sana, 😂

Profilbild von Eng.Omurangira Prosper Jr
Eng.Omurangira Prosper Jrvor 1 Jahr

Mwalimu wangu wakati nipo chuo uko Nairobi TUK aliwahi nambia unaweza ukaona mdada mzuri au mkaka wamevaa vizuri wamechomekea smart kabisa lakini muulize swali moja usikie atakavyokujibu. Hii ndo kitu naona hapa. Kichwani ni hamna kitu kichwa ni empty 🚮

Profilbild von Emmanuel Mwita
Emmanuel Mwitavor 1 Jahr

Yaani, 😂

Profilbild von M9
M9vor 1 Jahr

Hawa waendelee kupika th nyumbani

Profilbild von Emmanuel Mwita
Emmanuel Mwitavor 1 Jahr

Ni kazuri mashallah! sema hakana ubongo.

Profilbild von African🇰🇪🇹🇿🇧🇫🇺🇬🇿🇦🇿🇲
African🇰🇪🇹🇿🇧🇫🇺🇬🇿🇦🇿🇲vor 1 Jahr

Serikali imeleta live Tiktok, Imeleta social media😂😂 nacheka kama mazuri ila sijui wanawake wa kuoa vijana watatoa wapi kama hawa ndo waliobaki🙌🏻

Profilbild von aGO
aGOvor 1 Jahr

Mwanamke mzur asie na akili ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye pua nguruwe

Ähnliche Videos

Mnajua nacheka nini? 😂😂😂
0:47

Sensitive content

Mnajua nacheka nini? 😂😂😂

Author Sakwah Ongoma

424,005 Aufrufe • vor 2 Jahren