Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Malawi🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
31,680 görüntüleme • 28 gün önce •via X (Twitter)
35 Yorum

Ni sawa kabisa. Je nyie mnatetea uvunjanji wa Sheria wanaoufanya? Kazi za Sheria popote duniani ni 3. 1. Kurekebisha. 2. Kuadhibu. 3. Kuweka order. Sasa kuna kundi gani katika nchi hii halipaswi kuguswa kwa kuvunja Sheria?? Wao kama kina nani?

Kitendo cha hawa jamaa wanao jiita viongozi kushidwa kufanya mambo ha msingi na kuanza kutafta choko choko kwa boda boda na bajaji ni zahiri kabisa kuwa wameishiwa hawana mipango yoyote ya maendeleo ila wana mipango ya kukamdamiza na kuonea raia

Hapo anataka kuonyesha Zanzibar inaonewa kwenye muungano anabalansi Yani sema ukishakuwa chawa unakuwa bubu kwenye mambo makubwa sasa yeye hapa anajiona anajadili serious matters

Adhabu iwe kubwa lakini hii ya laki 3 au kutaifisha pikipiki ni uwenda wazimu mkubwa. Magari nayo yakiovertake pikipiki, gari la shule, makosa ya kweenye vivuko vya punda milia au taa yataifishwe. JINO KWA JINO

Mbona dialysis Zanzibar bure huku Tanganyika mihela kibao haoni hiyo mifano

Huyu ni kiongozi wa wapi

😁😁 wao na gar zao za gavoo waruhusiwe wapite popote

Hii ni nzuri ndiyo maana Rwanda bodaboda wanafuata Sheri's kwa sababu Kuna sheria kali sana

Laki 3 ni ndogo kwa bodaboda wa mama. Mm napendekeza iwe laki 5

Mbona nishati ya mafuta Znz ni bei nafuu kuliko Tanganyika? Kwanini haiko bei sawa?

Hii serikali ya hovyo sana haina uwezo wa kutekeleza sheria yoyote ile wao ni wanachojua ni kuteka na kubambika kesi wapinzani tu. Bodaboda pamoja na bajaji ni kero kubwa sana.Utakuta bajaji zinapaki kwenye corner ya barabara kuu na kuleta usumbufu lkn wanaachwa tu

Huyu jamaa katili sana

🍆🍆🍆 wanajua hela zinavyotaftw

Acha kila mtu aguswe ila siku maandamano yanaitishwa wanainchi w 🇲🇼 watoke barabara i

Kuna vitu huyu Balile huwa anavitazama kama sio msomi. Dar ina takribani watu Mil 7 , Zenji (kwa maana ya Kisiwa cha Unguja na Pemba)kina takribani watu Mil 1.5. Kwa Unguja inaweza ikawa laki 7, sasa utaka hivi vitu vifanane?! Acha bhana! "Balile, You better watch your mouth!"

Hawa ndio wasaidizi wa Rais ndio anawategemea kuhudumia wananchi

Anayepanga kiasi cha faini ni nani?

Wezi hawa wanataka tu kufilisi wananchi

Kuna hao madereva wa magari ya serikali😏

Balile nakuunga mkono, ila nakukumbusha kuwa wanaolea makosa ya bodaboda na bajaj ni polisi wa ccm wanakula rushwa kwa wingi na kufumbia macho uendeshaji hovyo wa hawa jamaa Ukiwa na gari ni nongwa kwa polisi bodaboda anafanyia makosa hapo ulipokamatiwa wewe mwenye gari hakamatwi

😂😂😂😂😂😂

Huyu anazungumzia zanziar ipi?

huu ukuma wa kutufananisha na Zanzibar hatutaki....toeni maelekezo bila kutufananisha na zenji ila pia boda should be very careful hawa watu wanatuua sana wazee

Kabla ya kufikia maamuzi hayo kuna maswali ya Kujiuliza, je Barabara zetu zina uwezo wa kubebana na wingi wa vyombo vya moto vipite bila kusongamana? Zina uwezo wa kubeba watembea kwa miguu? Kama hazina ndio sababu kuu ya Vyombo vingine kuchepuka kuepuka Msongamano.

Acha usenge

Anatombw uy muhay

Huyu hutumika Vibaya

Hozo chhochoko tuwachokonoe waanze milio

Kwenye kampeni hamkuwaambia haya😁😁

Huyu huwa ni nani?

He might have a point here, ila alishopoteza sifa za uandishi wa habari, by lacking neutrality! Amechangia sana huyu kuporomoka kwa profession ya uandishi wa habari nchini. Hatakiwi kabisa kundini, kama tunataka vyombo vya habari viwe na meno na visima me kama the fourth pillar

Mwenye V8 na Mshahara wa wananchi Maskini anapanga sheria kali kwa hao wanaolipa Kodi ili apate Posho zaidi kutokana na Fine, sio kuongeza Ajira sio kuleta Matibabu kwa wasio jiweza.

Uonevu

Sisi sio wa bara sisi ni watanganyika acheni dharau

Wana kichaa hao
Benzer Videolar
The sound of Malawi, one like no other 🇲🇼🤩 #TotalEnergiesWAFCON2026
CAF
51,582 görüntüleme • 2 ay önce



