正在加载视频...
视频加载失败
Mama Clara 🤣
10 条评论

Sasa mama Clara hiyo 50k si angetumia kufanya ya kula njiani wakati anarudi kwao😂😂😂

Alafu kuna hawa pia 🤣🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣

@RynierOfficial

😂😂 hiyo thank you imechelewa sana kutoka

Nimeshindwa kuendelea kusoma nimechefukwa sana, huwezi kutupanga namna hii, nimshone kisawasawa ajibu hivi? Hakuna mwanamke wa hivi huyo atakuwa anapigwa mbupu na muhuni mmoja nafikiri kodi ya muhun imepelea kwahiyo anainyandua kisawasawa

Aliyemtuma huyo baba Clara akalipe mahari ya ng'ombe na kuchukua ng'ombe anayoishi nayo ni nani? Angekuwa mtu angekuwa na utu !!

😂😂😂😂 hamna mwanamke apo mimi convo ingeishia pale sikutumii kula blok

Huyu wa kumrudisha kwao huyu

sema baba clara kazingu pakubwa sana ile sms ya pitiliza stendi kakate tiketi imekuja kwa kuchelewa sana 🤣🤣
相关视频
Sensitive content
Mama went undercover 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amaka
361,064 次观看 • 1 年前
