Loading video...
Video Failed to Load
Mambo Imechemka huku!
110,115 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

This is a typical low-quality man. You’ll never find a high-quality man, even a financially poor one, complaining about such things. Majoring on the insignificant isn't a man’s job. High-quality Men, maintain the frame, Big picture-beast mode is our forte. Wachieni manugu hizi.

does this represent Miami?

Utaambiwa umenunua zile cheap mbaya, na usiwahi mletea izo tena.

Kwa market ni cheap lakini around home, ni expensive… hajamcheza

Dishonesty at any level should never be acceptable. Huyu hata million ataiba

Can you stop being stingy.. Unfuatilia 50bob

Wanaume washajua ukora yetu mbona alituma bwanayakw groceries now see saving scheme yetu ishaungua 🤣🤣🤣

They say 'Pesa ya Mwanaume ni taamu' jameni msiwafutwe wakimama saana, mpe haki yake na umwache akupikie vizuuri. Wanaume ukinunua nyama huwa ni kwa kilos na zaidi lakini unajua wakinamama hununua hata ya 150/= na utakula ushibe? Mapishi inapitana kama Bosco Mwenda alivyosema.

Yeah Nyanya kwa Kibanda hua 10bob moja....wewe ulipata zikiwa na offer pale Supermarket...and they are sold in KGs.

Kwani huyu ni mgeni kwa hizi mambo 😅😅 apa safe play ni ujifanye hizo umekuja nazo ni umepata na offer zikiwa 300 ukaona uchukue

Average size tomatoes at the local mama mboga go for 10/- each. It’s cheaper to buy from the supermarket

