Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mambo kwa.ushahidi
13,050 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

MR FARIANABS1 yıl önce
Huyu si fundi nguo pale keko 😃😃😃

Trap Queen 🇰🇪 🇹🇿1 yıl önce
Duh

pray1 yıl önce
Kuna mwamba ataenda kuoa hapa. Daah wanaume Mungu atusaidie tuu

DAKTARI WA KUJITOLEA1 yıl önce
Hawa ndo wamesababisha tumefungwa🚮🚮

Mkimo mdogo1 yıl önce
Kuna tofauti kubwa kati ya bonge la dada na dada bonge 😂😂🫵

mshamba_mzoefu1 yıl önce
Hyu Dada anaitwa Tifa anaishi hapo maeneo ya Baruti yko na grocery Yake pale Luguruni karibu na Lapaz hotel upande wa pili wa Ofisi za wilaya ya Ubungo

Comr Ade1 yıl önce
mbona hatikisiki sasa😂

Brooklyn☘️1 yıl önce
Hawa wengine wanaenda uwanjani kwa masuala mengine!

Pdizaina1 yıl önce
Sasa kweli umfanyie hivi Pacome na Mzize halafu watuache,kweli?

Mdudu2551 yıl önce
Analo la kutosha
