正在加载视频...
视频加载失败
Mambo ni laivu 😂😂
261,957 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

You can check our services today

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

If it was a woman being handled like that, you'd have seen how those guys would have jumped in to intervene. But because its a guy, they just watch on🤦🏿

One drunk man is more intelligent than two women with PhDs.

That head bang to the ground could easily end that man's life...huyo msee akieza umwa na kichwa adedi,KAMITI direct.. avoid physical altercations..especially na walevi

I hope wakienda mahali hakuna watu that man made us proud bana

ingekua lady anakua bullied ingekua kwa news 7pm, uyo jamaa amevurutwa kichwa imepiga chini niaje, thats dangerous sana he is drunk.. jamaa anaondokea lakini anapigwa. earth is hard

Huyo ni nick mwendwa anahandwa hivyo 👀

Huyu alikula fare sindio

Ingekua mimi, if i were to be a guy ningekua nishamfunika makofi kadhaa ni reset hio akili yake ndogo 😹😹😹💀... As a man, how can you be roughed/beaten up by a woman? Unless your a WEAK man 💔

Huyo amejuwa huyo ni weak man juu najuwa tu aki vile sisi tulilelewa huyu angekuwa sai anatafuta meno zimeangukia wapi na mimi ningekuwa kwa subaru nkipelekwa milimani😂
