正在加载视频...

视频加载失败

Mapembelo Cargo walipata shida gani kwani?

69,757 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

andile Zuma's 的头像
andile Zuma's1 年前

Tatizo tanzania serikali ni matapeli lazima makampuni pia yawe ya kitapeli Yani hata makampuni ya kuuza viwanja matapeli nchi inaongozwa kitapeli ndio maana uwizi na dhulma kila sehemu

Arosha🥷🏿 的头像
Arosha🥷🏿1 年前

Kikao mlifanya na mkuu wa mkoa yule jamaa?

P R E M I U M . 的头像
P R E M I U M .1 年前

Hizi cargo mkuu ni kichefuchefu, silent ocean & Unique cargo ndio zimenyooka

BORA KAFA aka BOB MAZISHI. 的头像
BORA KAFA aka BOB MAZISHI.1 年前

Mkome nyie wafanya bishara kutaka cha juu sasa cha juu kinawatokea puani na mkome wateja mmliowapa Pesa hawa wafanyabiashara wawaagizie mizigo, mbona machimbo yte ypo kkoo hapo, mmtajijua na mapumbulo cargo yenu.

​🇲​​🇦​​🇱​​🇨​​🇴​​🇱​​🇲​ ​🇽​ 的头像
​🇲​​🇦​​🇱​​🇨​​🇴​​🇱​​🇲​ ​🇽​1 年前

Mzigo wangu ulienda Cargo kwao tokea October mpaka leo dadec sina ham.

Best Wallet 的头像
Best Wallet1 年前

🚀 Best Wallet - The only multi-chain #crypto wallet you need 💸

GOA MOTORS 的头像
GOA MOTORS1 年前

Wachina wamekua tatizo sana Wanakubali kupakia mizigo ya watu bila pesa au pesa kidogo alafu mzigo ukishafingwa kwenye makasha anagoma kuto nyalaka za kusafirishia mpaka apewe pesa yote Wakati wakala huku anataka mzigo ufike ndioo apewe pesa iliyobaki Kwa MTEJA

@ Mbwana🇹🇿 的头像
@ Mbwana🇹🇿1 年前

Yaani ipo hivi mizigo yote ambayo ni consolidated Kwa utaratibu mpya inatakiwa Kila mzigo ulipiwe kodi Kwa TIN NUMBER yake. Kwahyo tusije kushangaa makampuni mengi yacargo kuacha kusafirisha mizigo ya loose cargo kwani haitakua na faida Tena.

Pizallo 的头像
Pizallo1 年前

Usikute mapembelo ni WINGA

Wise Man 的头像
Wise Man1 年前

Ndugu zangu Watanganyika, hvi mnawaonage kina Babalevo na Mwinjaku kama wendawazimu? ukiona kampuni inapigiwa debe sana na CHAWA Jua ni ya uhakika, Hivi kampuni inaitwa mapembelo mnaidhamini pesa ndio tatizo

Job Thomas 的头像
Job Thomas1 年前

Video bado haijafikisha ujumbe anaotaka ufike , but me kwa experience yangu inaonekana shipping agent ameshindwa kulipa kodi, na hapa hakuna cha serikali kuingilia kati , serikali ndio imeshikiria mzigo, siwezi kusema kila kitu hapa but it seem hapa shipper ameamua kuditch mzigo.

相关视频