正在加载视频...

视频加载失败

@ masebanyone_spinyos

18,167 次观看 • 3 个月前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

KANINONG PANAGINIP TO?! #OnlyFUNSsayacca
0:27

Sensitive content

KANINONG PANAGINIP TO?! #OnlyFUNSsayacca

Moderators OnlyFARMS

54,949 次观看 • 2 天前

"Mnafahamu mgodi mkubwa sana wa almasi upo Mwadui, Shinyanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere, unaitwa Williamson Diamonds? Almasi nayopatikana pale haipatikani popote ulimwenguni. Almasi yake ni rangi ya pinki. Malkia Elizabeth lI wa Uingereza alipewa almasi hiyo akaweka kama pambo katika kofia yake.. SSH alipoingia madarakani 2021, Rostam Aziz alinunua 31%% ya mgodi wa Williamson Diamonds kwa gharama ya US$11 milioni (TZS 30 bilioni)" Balozi hpolepole. "Mwaka 2017 wakati Rais ni JPM, tulikamata kafurushi kadogo ka' almasi JNIA. Kafurushi kalikuwa kanamilikiwa na kampuni ya Petra Diamonds ambayo ndiyo inamiliki 31%% nyingine za mgodi wa Williamson Diamonds (wakati ule walikuwa wanamiliki 75% na Serikali 25%. Petra Diamonds akamuuzia Rostam Aziz 31%% na akabaki na 31%2 na zinazobaki ni za Serikali. Kafurushi hicho, maafisa wa Serikali waliokula rushwa na kupatikana na hatia na wakafungwa walitathmini na kuweka bei ya chini wastani wa TZS 30 bilioni" - Balozi hpolepole. "Magufuli alikuwa anafuatilia kila kitu kwa hatua. Akaagiza tathmini irudiwe. Waliporudia kufanya tathmini ikaonekana zile almasi zilikuwa na thamani ya US$29 milioni sawa na TZS Bilioni 66. Kafurushi tu. Mwaka 2020 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikaamua almasi zile zitaifishwe. Inawezekanaje mgodi mkubwa wenye akiba kubwa ya almasi Duniani wenye urefu wa kuchimba kwa miaka 100 ijayo, 30% ya mgodi ule iwe TZS 30 Bilioni? Wakati kamfuko kamoja kalipokamatwa hamani yake ni TZS 66 Bilioni? Tafakari, chukua hatua, shtuka, tunauzwa, tumepigwa bei"- balozi hpolepole TUTAKUWEPO🫵😎

SIR TIVA

31,593 次观看 • 9 个月前