ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

96,387 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

10 ๆก่ฏ„่ฎบ

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ1 ๅนดๅ‰

Misingi ya insurance imejengwa katika uharamu hivyo kuifanya kuwa haramu katika sheria yetu ya Kiislamu. Insurance ni bahati nasibu na kwa ajili ya kutaka kupata faida nyingi huwa hawakubali mtu ambaye ana ugonjwa wa kudumu kujiandikisha. Uharamu wake ni kuwa ndani yake kuna Gharar (uongo), riba, Qimaar (kamari) na kuuza deni kwa deni. Moja tu kati ya hizi zikipatikana katika kitu chochote hukifanya kuwa haramu. Na katika bima nukta hizi nne zinapatikana. Insurance ni bahati nasibu, kwa kuwa unaweza usiwe mgonjwa kwa mwaka mzima hivyo kufanya pesa zako ziwe zimepotea bila huduma ya aina yote. Uislamu haufanyi kazi aina hiyo, unataka mtu atoe pesa na apate huduma kutoka kwa shirika au kampuni au idara nyingine yoyote. Kisha pia katika insurance huwa kuna riba ndani yake na udanganyifu ambao umekatazwa na Uislamu. Na Allaah Anajua zaidi

KIDUKU ็š„ๅคดๅƒ
KIDUKU1 ๅนดๅ‰

MASHEHEE Wengi Sana Wako Na Umeme Mdogo Sana Kichwani Tofauti Na MAASKOFU Na WACHUNGAJI Wao Umeme Wao Kichwani Nimkubwa Sana. SHEHEE PONDA ISSA PONDA Nafikiri Ndio Yuko Na Umeme Mkubwa

Denice Tumaini (LA) ็š„ๅคดๅƒ
Denice Tumaini (LA)1 ๅนดๅ‰

Nadhani Sheikh kwenye narrative yake amejielekeza vibaya tu. Kwenye bima kuna makubaliano mpaka unalipia bima tiyari umekubaliana na masharti yake. Wasichotaka Waislam kuhusiana na bima ni kwamba kwenye bima ile fedha mnayokusanya huchukuliwa na kwenda kuwekezwa kwenye masoko ya fedha, hisa na mitaji ambapo inazalisha riba ambayo ndio faida inayotumika kulipia madhila pamoja na faida ya kampuni. 'Riba' katika Uislamu ni haramu. Pia hawapendi ile notion kwamba ukitoa laki yako ukaisha mwaka hujaugua hiyo hela ndio imechukuliwa mazima. Hata hivyo Waislam wana mfumo wao wa bima unaitwa 'TAKAFUL' ambao hauna masuala ya riba wala kuchukua chote mtu asipougua.

Kaisari MAYELE ็š„ๅคดๅƒ
Kaisari MAYELE1 ๅนดๅ‰

Ndo maana ummy aliibagaza Bima๐Ÿ˜๐Ÿ˜

๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ ็š„ๅคดๅƒ
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ1 ๅนดๅ‰

Kinyume na imani?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Bakari Mugini Mabele ็š„ๅคดๅƒ
Bakari Mugini Mabele1 ๅนดๅ‰

Bima tulizonazo ni pyramid scheme Kusanya hela kwa wengi uhudumie wachache. Collect from MANY, save FEW on expense of MANY. Ndo maana ikitokea wanaohudumiwa ni wengi pia mfumo una- paralyze Uislaam unahamisha transactional systems ambazo ni fair, transparent & sustainable

Trust ็š„ๅคดๅƒ
Trust1 ๅนดๅ‰

Yupo Sahihi Ila Changamoto Wenye Degree Wengi Wana Jifanya Una Juwa Kila Kitu Hadi Siku zao za Kufa ๐Ÿคฃ๐Ÿซต๐Ÿฟ

BWA' MDOGO! ็š„ๅคดๅƒ
BWA' MDOGO!1 ๅนดๅ‰

Asikilizwe pia as No culture is superior or inferior to another. Islamic laws zinazingatiwa kwenye upangaji packages za bima. Bima zenye investment component ni haram kwao. Bima ya afya ni debatable na planners lazima wazingatie makundi yote na ndio sababu kuna vitu kama TAKAFUL.

A. u . T. o. M. a. T. i. K. i ็š„ๅคดๅƒ
A. u . T. o. M. a. T. i. K. i1 ๅนดๅ‰

Kiislamu Sheikh yupo sahihi Bima ina elements zote za Riba, Gharar, Maisir na Unjust Enrichment Quran 2:275 ,5:90 Ndiomana kasuggest Takaful.

Dr. Elly josaphat ็š„ๅคดๅƒ
Dr. Elly josaphat1 ๅนดๅ‰

Kiongozi atakuwa alijielekeza vibaya kwenye tafasiri ya bima. Bima ni makubaliano pia kuwa tunachangia na kuweka pesa yetu pamoja kwa ajili ya matibabu . Kitendo cha wewe kujiunga ni kwamba umekubaliana kuwa pesa yako itatumika kumuhudumia mtu mwingine pale anapohitaji matibabu

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘

Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali. Akiwasilisha ripoti ya Tume hiyo leo, Katibu wa Tume, Dkt. Abdallah Tego, amesema uchunguzi ulihusu makosa ya kimaadili na kiuongozi, ambapo Tume ilikusanya nyaraka mbalimbali, zikiwemo taarifa za mitandaoni, kufanya mahojiano ya ana kwa ana na kwa njia ya simu na mashahidi, wakiwemo viongozi waliofanya kazi kwa karibu na masheikh hao, pamoja na kupokea maelezo yao ya utetezi. Hata hivyo, Tume imesema Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa, hakuitikia wito wa kufika mbele ya Tume kwa ajili ya kutoa utetezi wake, licha ya juhudi zilizofanywa na Tume kumtafuta. Kwa upande wa Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassor Issa, na Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Sheikh Hassan Idi Kiburwa, Tume imesema waliitikia wito na kufika mbele yake kwa ajili ya kutoa utetezi. Kwa mujibu wa Tume, maelezo yao yalisaidia kupunguza uzito wa baadhi ya makosa yaliyokuwa yakiwakabili. Tume imewasihi Masheikh hao kusikiliza na kuheshimu uamuzi utakaotolewa na Baraza la Ulamaa, ikieleza kuwa hatua hizo zinalenga kulinda maslahi ya umma wa Kiislamu. Aidha, imeutaka umma kuwa mtulivu wakati ukisubiri uamuzi wa mwisho wa Baraza la Ulamaa. #KitengeUpdates

Maulid Kitenge

43,127 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 1 ไธชๆœˆๅ‰