Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

96,348 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿1 год назад

Misingi ya insurance imejengwa katika uharamu hivyo kuifanya kuwa haramu katika sheria yetu ya Kiislamu. Insurance ni bahati nasibu na kwa ajili ya kutaka kupata faida nyingi huwa hawakubali mtu ambaye ana ugonjwa wa kudumu kujiandikisha. Uharamu wake ni kuwa ndani yake kuna Gharar (uongo), riba, Qimaar (kamari) na kuuza deni kwa deni. Moja tu kati ya hizi zikipatikana katika kitu chochote hukifanya kuwa haramu. Na katika bima nukta hizi nne zinapatikana. Insurance ni bahati nasibu, kwa kuwa unaweza usiwe mgonjwa kwa mwaka mzima hivyo kufanya pesa zako ziwe zimepotea bila huduma ya aina yote. Uislamu haufanyi kazi aina hiyo, unataka mtu atoe pesa na apate huduma kutoka kwa shirika au kampuni au idara nyingine yoyote. Kisha pia katika insurance huwa kuna riba ndani yake na udanganyifu ambao umekatazwa na Uislamu. Na Allaah Anajua zaidi

Фото профиля KIDUKU
KIDUKU1 год назад

MASHEHEE Wengi Sana Wako Na Umeme Mdogo Sana Kichwani Tofauti Na MAASKOFU Na WACHUNGAJI Wao Umeme Wao Kichwani Nimkubwa Sana. SHEHEE PONDA ISSA PONDA Nafikiri Ndio Yuko Na Umeme Mkubwa

Фото профиля Denice Tumaini (LA)
Denice Tumaini (LA)1 год назад

Nadhani Sheikh kwenye narrative yake amejielekeza vibaya tu. Kwenye bima kuna makubaliano mpaka unalipia bima tiyari umekubaliana na masharti yake. Wasichotaka Waislam kuhusiana na bima ni kwamba kwenye bima ile fedha mnayokusanya huchukuliwa na kwenda kuwekezwa kwenye masoko ya fedha, hisa na mitaji ambapo inazalisha riba ambayo ndio faida inayotumika kulipia madhila pamoja na faida ya kampuni. 'Riba' katika Uislamu ni haramu. Pia hawapendi ile notion kwamba ukitoa laki yako ukaisha mwaka hujaugua hiyo hela ndio imechukuliwa mazima. Hata hivyo Waislam wana mfumo wao wa bima unaitwa 'TAKAFUL' ambao hauna masuala ya riba wala kuchukua chote mtu asipougua.

Фото профиля Kaisari MAYELE
Kaisari MAYELE1 год назад

Ndo maana ummy aliibagaza Bima😁😁

Фото профиля 𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 1 год назад

Kinyume na imani?😂😂

Фото профиля Bakari Mugini Mabele
Bakari Mugini Mabele1 год назад

Bima tulizonazo ni pyramid scheme Kusanya hela kwa wengi uhudumie wachache. Collect from MANY, save FEW on expense of MANY. Ndo maana ikitokea wanaohudumiwa ni wengi pia mfumo una- paralyze Uislaam unahamisha transactional systems ambazo ni fair, transparent & sustainable

Фото профиля Trust
Trust1 год назад

Yupo Sahihi Ila Changamoto Wenye Degree Wengi Wana Jifanya Una Juwa Kila Kitu Hadi Siku zao za Kufa 🤣🫵🏿

Фото профиля BWA' MDOGO!
BWA' MDOGO!1 год назад

Asikilizwe pia as No culture is superior or inferior to another. Islamic laws zinazingatiwa kwenye upangaji packages za bima. Bima zenye investment component ni haram kwao. Bima ya afya ni debatable na planners lazima wazingatie makundi yote na ndio sababu kuna vitu kama TAKAFUL.

Фото профиля A. u . T. o. M. a. T. i. K. i
A. u . T. o. M. a. T. i. K. i1 год назад

Kiislamu Sheikh yupo sahihi Bima ina elements zote za Riba, Gharar, Maisir na Unjust Enrichment Quran 2:275 ,5:90 Ndiomana kasuggest Takaful.

Фото профиля Dr. Elly josaphat
Dr. Elly josaphat1 год назад

Kiongozi atakuwa alijielekeza vibaya kwenye tafasiri ya bima. Bima ni makubaliano pia kuwa tunachangia na kuweka pesa yetu pamoja kwa ajili ya matibabu . Kitendo cha wewe kujiunga ni kwamba umekubaliana kuwa pesa yako itatumika kumuhudumia mtu mwingine pale anapohitaji matibabu

Похожие видео