Loading video...
Video Failed to Load
Mashine mpya Msimbazi - Michael Charamba 🇿🇼
66,442 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Am joking 😂2 years ago
Ukiangalia tu jinsi alivyo kaa n mchezaj mdogo saanaaaa hata iyo ligi inaonekan ndg

betkitaa2 years ago
😁

Pisikali bongo2 years ago
@bongopisikali

Jovin Kelvin2 years ago
Tusubili tumuone uwanjani ndiyo tutajua kuwa mpira upo

Robert2 years ago
Hii mbona kama tu ilivyokuwa clp ya Sawadogo

Khadija Lukinga2 years ago
Hao mabeki hawana tofauti na mabeki wa jamhuri kweny mapinduzi 😂😂😂

Eng.Straton Kagaruki2 years ago
Nikikumbuka clip za sarpong na alichokuja kukifanya..

Truthbetold2 years ago
Simba wangemchukua namba 7 wa power dynamo pamoja na kagoma pia

vintage2 years ago
Bongo tukiona vitu Kama hv Ndo tunachanganyikiwa 😂😂

animal2 years ago
Hapana huyu mchezaji hatumtaki hana muonekano wa kistar kabisa kama sserunkuma
