Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Matendo ya Mungu yanazidi kuonekana🥹🙏🏽🙏🏽

181,335 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

muuza laptop na simu profil fotoğrafı
muuza laptop na simu1 yıl önce

Hii ukisikia kwa neema za mungu ndo hii 🙏. Katoka sister mmoja hapa hata picha uwezi piga

𝐀mbwene🧖🏾‍♂️ profil fotoğrafı
𝐀mbwene🧖🏾‍♂️1 yıl önce

Duuh💔🥹

Call me Toni profil fotoğrafı
Call me Toni1 yıl önce

Hao ni raia, sio jeshi la uokoaji wala Polisi. Maisha haya tuko wenyewe jamani

𝐀mbwene🧖🏾‍♂️ profil fotoğrafı
𝐀mbwene🧖🏾‍♂️1 yıl önce

Huzuni

Amri profil fotoğrafı
Amri1 yıl önce

ukitoka hapo nikwenda kutubu na kumrudia Muumba

𝐀mbwene🧖🏾‍♂️ profil fotoğrafı
𝐀mbwene🧖🏾‍♂️1 yıl önce

Hakika mzee

masuJr profil fotoğrafı
masuJr1 yıl önce

ondoeni hofu halafu mtangulizeni mungu tulizeni akili soon mtakua salama nyote kwa pa1. hapa sisi huwa ndio tupo kazini zaidi ya mita 100 kutokea juu hali kama hiyo ikitokea hizo ndizo hatua ambazo tunachukua muongeze na ushirikiano mambo yatakua mazuri. tunawaombea Amin.

Marsenalian profil fotoğrafı
Marsenalian1 yıl önce

Yaani Mungu ashindwe kuzuia Ghorofa kuanguka, alafu watu waokoe bado useme Mungu anasaidia. Waafrika nani kawaroga 🤣🤣

VIN profil fotoğrafı
VIN1 yıl önce

Mbona kazi ya wanajeshi na zimamoto hatuioni au hairuhusiwi kuwa record

Eng. Jamali Juma profil fotoğrafı
Eng. Jamali Juma1 yıl önce

Huyu mtu kanikumbusha mbali sana hasa pale katika watu wa walipoingia katika pango na jiwe likafunga mlango wa pango na kila mtu akamuomba Mwenyezi Mungu kupitia matendo yake mazuri aliyofanya. Hivyo huyu kaka katoka hapo kuna kitu Mungu ameamua Kumuonesha leo

Benzer Videolar