Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mawazo yangu juu ya huu mjadala 😊

24,303 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von (---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushivor 1 Jahr

Ni sawa na kusema calculator inaharibu kazi ya wahasibu.

Profilbild von Sammy Awami
Sammy Awamivor 1 Jahr

😂 kweli kaka

Profilbild von wilfred kahumuza
wilfred kahumuzavor 1 Jahr

Siyo tu AI, hata teknolojia ya kawaida imewafanya wavivu. Na ni wavivu pia hata katika hiyo. Ni ajabu kusikia mwandishi wa habari anayelipwa mshahara akiibuka studioni na habari ya mitandao ya juzi, ambayo jana imejadiliwa na vijana wa vijiweni wasiokuwa na ajira!

Profilbild von PmanCashflow Group
PmanCashflow Groupvor 1 Jahr

Nadhani sio waandishi Tu, hata tasnia yote itakuwa "computerized ". Kwa ufupi AI itaua kabisa uwezo wa waandishi wa habari kuchunguza, kufuatilia, na kufanya tafiti. Mathalani, Mimi Kwa sasa Naweza kutumia AI kupata habari na Naweza nikasambaza hiyo habari bila kuwa mwandishi.

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

the drop on this is wild

Profilbild von Ellis _
Ellis _vor 1 Jahr

Kwa mswahili matumizi ya namna hiyo ya "teke linalokujia" wanaona kama "cheating" 🤣! Kuna tatizo la kimfumo nafikiri, kama vile kuteseka kufanikisha kitu ni sifa. Huwa hatuangalii matokeo - urahisi wa kufanikisha kitu, kuongezeka kwa upatikanaji wa taarifa na maarifa n.k

Profilbild von ◇
vor 1 Jahr

Ni kweli kabisa, siku hizi tumekuwa na waandishi wa mwendokasi au vodafasta

Profilbild von Denis Mugisha
Denis Mugishavor 1 Jahr

Hio Tshirt wanauza wap Boss😂

Profilbild von Furahisana
Furahisanavor 1 Jahr

We nawe mbwembwe nyingi tulia kaka BBC siku hizi hakuna weledi tulozoea

Profilbild von edrice
edricevor 1 Jahr

sio waandishi tu’

Profilbild von George Mwiga
George Mwigavor 1 Jahr

Wengine tulishalizungumza hili

Ähnliche Videos