Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mazda Cx5 kama kawaida
40,876 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Ukashaona unaamisha mara2 2 kua ni kari nzur jua unanua matatizo

UP-05 forged wheels: the ultimate performance upgrade for your Tesla. Available Now

Huyu jamaa kwenye video ni tapeli hatari.

Clinik yao ipo bana wakamuone dokta 😁

Mmemdanganya silikoni inasimamia kama casket na ni imara sana haina tatizo lolote kuna watu hawajui magari wakifika vituo vya service wanaonewa sana kwanza akiifungua ndio mwanzo wa kuanza kuvuja oil utaniambia

Safi sana. Kijana wetu Usalule anaipaisha Tabata. Wana huduma nzuri ya kuosha magari na Karibuni wamefunga mtambo wa kisasa wa service za magari.

Utapeli mwingi saana town..kikubwa mjanja aishi mjinga apigwe.

Hizi gari kisanga

Hii sio shida ya Cx 5

Msisitizo ukiwa mkubwa ndio doubts zina manifest

Jichanganye sasa🤣🤣🔥
