Loading video...
Video Failed to Load
Mburkinabe hawezi kuondoka Bongo tena !!😜
64,546 views • 2 years ago •via X (Twitter)
26 Comments

Ataanzaje kwenda kuna pisi kali namna hii

¡EMPIEZAN SU CAMINO! 🤩 El Cibao y las @Chivas volverán a encontrarse en la primera ronda de la Concachampions 2025 y disputarán el primer juego en República Dominicana. 🤭 No te puedes perder este partido. 😮💨 #ConcaChampions #Chivas #Cibao

Kwenye kuvaa bado sana

Connection ya aziz ninayo 😋

Huyu akamuulize carlinho kilichompata, nmekaa pale

🫣✌🏻✌🏻✌🏻

Alivo aggresive kwenye mpira lakini kwenye mambo hayo legelege km mkate kwenye chai😀

Anafunga ndani na nje ya uwanja

Hapa kwishaa

Hawa wadada wa kubongo watamkomba hela zake zote. Awe makini sana anaeza kuja kurud Burkina Faso na mabeg tu

Hapo akiendeleza nanihi! Ball itakufaa

moja ya sifa kubwa ya Mobeto, ukimpa kazi hakosei.. Msimu uanze sasa.. 😀😀

😂😂😂

Huyu jamaa mwisho wake atakuja kucheza mashujaa alishaingia kwenye mfumo wa Tz demuz

Wamejua nywele za samsoni zipo wapi...😂

😂😂ww ungeondoka??

Badala ya kuchambua mpira, unachambua umbea siku hizi, Baghdad

@degreeoda nimeludi tena😂 UKINIFOLO NAKUFOLO BAKI

Kwisha habari yake

Huyu mama atamshusha kiwango huyu jamaa khaa

Hamisa anajua kifaransa ??

Hapa wanaongea lugha gani

Mfumo umetiki

Nanguo zake za kichina

Ki aziz

Dogo anabemendwa miguu dadeq.....

