Loading video...
Video Failed to Load
Mecky Maxime is spitting straight facts 🔥
21,920 views • 2 years ago •via X (Twitter)
11 Comments

Salim Masoud Said2 years ago
Ma diehard tunahitaji msaada hapa. “Waarabu tetesa crini”? Mimi pia sijaelewa

Kipara_Mauzi2 years ago
Mwamba Sana huyu Mecky !!! Akipata nafasi tu analipua mabomu 😀

Salim Masoud Said2 years ago
🔥🔥🔥

ProdigY 💎2 years ago
Huyu jamaa anaongeaga facts sana

Salim Masoud Said2 years ago
@Calm_cool_ice Always

w_durant352 years ago
Hip hop kabisa mpira umri filowana watu wengi wa ajabu😂

ESCUDO2 years ago
Kasema sio waarabu nin???

Richard Donald2 years ago
Facts tupu by ligikuu diehard

Reginard Godliving Michael2 years ago
a true son of ligi kuu will never lie😂

Mjukuu~Wa~Minja🦁👁️2 years ago
Mecky anaongea ukweli sana

Salim Masoud Said2 years ago
Napenda sana interview zake

