Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Mengine NAWAACHIA WENYEWE Mseme 👇

48,627 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Afya Yangu 💊 profil fotoğrafı
Afya Yangu 💊2 yıl önce

Rest in peace the Africa Legend JPM still we remember you even you have passed in our eye 😭😭😭😭

International Herb profil fotoğrafı
International Herb2 yıl önce

“Watanzania mtanikumbuka, na mimi nataka mnikumbuke kwa mazuri sio kwa Mabaya” 😭😭😭😭

259 profil fotoğrafı
2592 yıl önce

Ohh leo kawa mazuri ehh. Yake ya demokrasia sijui, wapinzani, sijui vyombo vya habari, sijui dictator sijui, mahakama, ohh uchafuzi 2020, ohh sijui CAG etc ni mengi. Ila wanasiasa ni mtihani sana hawa

Ones'more profil fotoğrafı
Ones'more2 yıl önce

Ningemsifu sana kama tu angetupatia "KATIBA"ambayo ingelinda rasimali zetu ,hata angeondoka yeye ,rasimali zetu zingelindwa kwa mujibu wa katiba hiyo,yote aliyoona hayafai ,yamegeuzwa yanafaa,ona swala la Bandari kwa mfano,#KATIBA MPYA NI SASA

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI profil fotoğrafı
USHINDI NI WETU RUDISHA MALI2 yıl önce

Pamoja na kuwa dikteta aliweza kuzibiti rushwa

𝘿𝙧.𝘽𝙚𝙣 𝙆𝙖𝙢𝙖𝙣𝙮𝙤𝙡𝙖| 🩺 profil fotoğrafı
𝘿𝙧.𝘽𝙚𝙣 𝙆𝙖𝙢𝙖𝙣𝙮𝙤𝙡𝙖| 🩺2 yıl önce

Utaanzia watu kuwaambia wapi mpaka wakuelewe na wewe ulikuwa mstari wa mbele kumponda?

simon simumba profil fotoğrafı
simon simumba2 yıl önce

Kaka wewe ndo umepost hii? Dah ogopa ,si ndo nyie nyie

Katiki Lamsala profil fotoğrafı
Katiki Lamsala2 yıl önce

Hawa maprofesa sijui nini huwa kinawachanganya. Prof Kababudi, huyu ana sifa yakuwa na ufaulu mzuri pale UDSM. Lakini alikuja kumuita Rais Mungu! Angalau huyu alikuwa analinda mkate wake, lakini Prof Lumumba hakuwa na cha kupoteza. Kwanini hakuangalia upnde wa pili wa shilingi?

Dada Wa Kazi Za Ndani profil fotoğrafı
Dada Wa Kazi Za Ndani2 yıl önce

Dah! Naogopa saana kifo, sijui nikifa naenda wapi wajameni.

Asd4real. profil fotoğrafı
Asd4real.2 yıl önce

Ninyi ndio mliowapa nguvu wabaya watumie ubaya wao dhid yake. Mlimkalia kooni kw mabaya ili wabaya wapete nafasi ya kufanya yao kwao. Ninyi ni wabaya San kwetu.

Benzer Videolar