Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Merry Christmas 🎄🎬🍷
11 Yorum

Presenter Noah1 yıl önce
We salah wa kikuu mbona hutupi mwaliko 😂

Building 7 Boutique1 yıl önce
Buy some Trump Christmas gifts and support a small business!

CreatorFrenzy🦅1 yıl önce
Merrychristmass brother

Surly 6191 yıl önce
Hapo mwanzon mwa clip mbona umeganda kama sanam Kaka 😂😂

Game_Changer🇹🇿1 yıl önce
Kaka Joji unaishi mwanetu😅😅😅sema mbu sasa

nameless jr1 yıl önce
Kocha hata hawa ambao tunataka kufunga nao mwaka unataka kutunyang'anya😂😂😁

Fredcàstrø Manyama1 yıl önce
Enjoy life mkuu maisha ndo haya United iku stress na ushindwe kunywa😁

Benedicto_William1 yıl önce
🥂🙏

Gody Michael1 yıl önce
Unamuiga salaah sio, kupost dakika za jioonii

Iamghwandu951 yıl önce
Mwalimu kama mwalimu..the only one tactico who is truly neautral kwenye uchambuz wa mpira

Baba_Miquissone1 yıl önce
George ningelia sana kama hata mo Salah angekushinda kwenye kupost Xmas 🤣🤣🤣
