ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

MethoDman ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚he has suffered buana

14,753 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 2 ๅคฉๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

11 ๆก่ฏ„่ฎบ

MethoDman ็š„ๅคดๅƒ
MethoDman2 ๅคฉๅ‰

If you think earth is hard on you,now Imagine having a Wife like that Tiktok lady called Shiko wa style. The one who sells imports from china. Mwanamke pere pere! Yaani mtu anaongea trrrrr nikama ni ile kamachine ya kuhesabu pesa bwana. I have tried watching several of her videos but its impossible. Yaani ata hakuna break, ata kupumua hakuna, ni trrrr 24/7, na volume niya crusade. Unajua mwanaume unaesajipata ata unalia aki kama niwewe umeoa huyo. Shes to chaotic. Mkiona jamaa wanafunga biashara saa tano usiku ndio wakienda nyumbani wapate bibi amelala,mjue hiyo ndio mambo iko nyumbani. Mimi wanaume huwa nawahurumia sana saa ingine. Khabusie!

MethoDman ็š„ๅคดๅƒ
MethoDman2 ๅคฉๅ‰

I pity this omwami bwana๐Ÿคฃ

Benii ็š„ๅคดๅƒ
Benii2 ๅคฉๅ‰

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚noisemaker kwa nyumba yangu apana

IamtheTrainer ็š„ๅคดๅƒ
IamtheTrainer2 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii Mimi huyu naweza fukuza saa nane ya usiku on the first day with her,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ibrahim_ibrah ็š„ๅคดๅƒ
Ibrahim_ibrah2 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii Nimehesabu na in 2 mins ameongea 13,496 words, uyo apana buana

ftssim ็š„ๅคดๅƒ
ftssim2 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

black pantheress ๐Ÿ† ็š„ๅคดๅƒ
black pantheress ๐Ÿ†1 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii He looks like a calm man and most calm men,love talkative women

kev@ ็š„ๅคดๅƒ
kev@1 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wickie mosh๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ็š„ๅคดๅƒ
wickie mosh๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช1 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii Huyu naezahama usiku akilala nimwachie nyumba

imagemart100 ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ็š„ๅคดๅƒ
imagemart100 ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช2 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii Hii itabidi uhame umwachie nyumba

Javid ็š„ๅคดๅƒ
Javid2 ๅคฉๅ‰

@polo_kimanii Upuzi mtupu buana ๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘