正在加载视频...

视频加载失败

Mi7waya HHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH

10,686 次观看 • 1 个月前 •via X (Twitter)

5 条评论

ysf.flac 的头像
ysf.flac1 个月前

HHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH

lmoch 的头像
lmoch1 个月前

Hhhhhhhhhhhhhh

hamza 的头像
hamza1 个月前

anchn9 rassi, bsbab had lkhra chrit rams b 1500dhs

Adam 🇲🇦 آدم 的头像
Adam 🇲🇦 آدم1 个月前

Ach had l9lawi

EXC🇸🇩🇵🇸 的头像
EXC🇸🇩🇵🇸1 个月前

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

相关视频

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amejikuta kwenye majibizano na askari wa Jeshi la Polisi akiwa nje ya jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Semu alikuwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Aprili 24, 2025 ambapo kesi mbili ya uhaini na ile ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zinasikilizwa. Akiwa nje ya geti la Mahakama hiyo, upande wa uelekeo wa mataa ya Ohio, Semu alishuka kwenye gari lake kwa lengo la kuzungumza na wanahabari. Askari watatu wa kike wa kutuliza ghasia walimzuia wakitaka aondoke eneo hilo. Kiongozi huyo alikataa na kudai eneo hilo si la Mahakama, hivyo amesimama kihalali na kutaka asilazimishwe kuondoka. Wakati mvutano huo ukiendelea, askari wengine zaidi ya saba wanaume wakiwa kwenye gari ya Polisi walisogea kwenye kusanyiko hilo bila kuzungumza chochote huku wawili kati yao wakishuka na kutawanya kusanyiko hilo kwa kuwatishia mbwa, Semu na waandishi wa habari. Wakati wakifanya hivyo, mmoja wa viongozi wa ACT Wazalendo aliwafokea askari akiwatuhumu kuwatishia mbwa na kumfungulia kiongozi huyo mlango wa gari ili apande waondoke. Waandishi pia walikimbia kukwepa kudhuriwa na mbwa hao wa Polisi kabla ya Semu kuondoka eneo hilo saa 5:25 asubuhi. Baada ya Semu kuondoka, askari wenye mbwa nao walisogea upande mwingine kuendelea na majukumu yao, huku waandishi wa habari wakikimbilia kwenye korido za majengo yaliyo jirani na Mahakama hiyo. Wakati huo mvua ilikuwa imeanza kunyesha katika viunga hivyo kwa Mahakama ya Kisutu. Endelea kufuatilia Mwananchi

Mwananchi Newspapers

32,013 次观看 • 1 年前

Penyelundupan Senjata dari PNG Untuk Organisasi #PapuaMerdeka #TPNPB-OPM Penyelundupan senjata dan amunisi dari jalur perbatasan atau perairan PNG yang digagalkan TNI-POLRI tercatat secara resmi: 1. ​Kasus di Sungai Digoel, Boven Digoel: Polres Boven Digoel menggagalkan penyelundupan senjata api yang dibawa lewat jalur perairan sungai dari arah perbatasan PNG. Dalam operasi patroli tersebut, aparat menangkap pelaku dan menyita 4 pucuk senjata api laras panjang beserta belasan amunisi aktif yang diduga kuat akan dipasok untuk KKB. 2. ​Penggagalan Jalur Darat Trans Papua (Modus Suku Cadang Terpisah): Satgas Pamtas (Pasukan Pengamanan Perbatasan) TNI beberapa kali menggagalkan modus baru di mana senjata api diselundupkan dari PNG tidak dalam bentuk utuh, melainkan berupa komponen atau sparepart terpisah serta puluhan amunisi aktif. Komponen-komponen ini disamarkan di dalam bungkusan bahan pokok makanan untuk mengelabui petugas di pos pemeriksaan jalan Trans Papua Jayapura-Wamena. 3. ​Penyitaan oleh Satgas Yonif 132/Bima Sakti: Dalam masa tugasnya di perbatasan RI-PNG (seperti di wilayah Skouw dan Muara Tami), Satgas ini berhasil memutus rantai pasokan dengan mengamankan senjata jenis Mouser, puluhan amunisi kaliber 5,56 mm dan 7,62 mm, sekaligus menangkap oknum lintas batas yang mencoba memasukkan logistik tempur tersebut secara ilegal. #Watchdoc #FilmPestaBabi #DandhyLaksono #Merauke #PapuaSelatan #PestaBabi #CypriPajuDale #PSNPapua #PSNPapuaSelatan #TanahAdat #MasyarakatAdat #papuabukantanahkosong #PapuaIndonesia

ULMWP NEWS

12,265 次观看 • 4 个月前