Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Millennials nikama walilukwa akili😂😂😂
10,981 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)
Комментарии: 37

GenZ simajifanya wanaruka na mishangazi......watu waliruka na vikongwe😂

😂😂😂😂

Nyie saivi mnapenda mishangazi sisi tulipenda mpaka vikongwe

😂😂

😂😂😂

I remember the marriage btn Mbugua and Late Wambui is what made this guy record this song, kweli tumekula chumvi 😂😂

Kati ya nyimbo zilizowahi kudharauliwa na Mimi mojawapo ndo huu!

Huu wimbo uliwalenga GenZ hauoni saiv bila mishangazi hawana maisha 😂😂

Sas ndo nn hiki kinaimbwa??🙌🏻🙌🏻🙌🏻

😅😅😅

Hao ndio wenyej wa bang na madawa😂😂😂🙌🙌🙌

This was a certified banger you child!!

Kuna miziki fulani ukisikia na namna wanaipaga hype unabaki kucheka tu 😂

Ra Re Ri Ro Ru!

Watoto wa 2000 wamekopi kwa meleniam isipokuwa wao wame upgrade kutoka kikongwe mpaka mshangazi 😁

Imagine hii ilikua hit 😂😂🚮

😁😁

😂😂

😃😃😃

Wala hata sikuhizi mmemodify tu mnaita amshangazi

Unatukana baba zako?

Mambo ya mishangazi imeanza kitambo sana

Walikua na vikongwe

Huyu ndio muanzilishi wa vijana kutoka na vikongwe

😂😂

Kitamboo hyoo

🤣🤣🤣🤣

Ondoa iyo ni kama

😁😁

🤣🤣

Daaah,😅😭

😄😄😄

😂😂😂

😂😂

@ZPlanmaster Hyo sometime kaipiga kiufundi na hyo beat🔥🔥🫵🏽

@raphaelhakeem1 vitu zako izi

😂😂
