Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Mimi hii ningeweka moyoni .

89,545 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 12

Фото профиля Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊1 год назад

Kabla ya kuongea Chochote hakikisha kuwa ulimi wako umeunganishwa ipasavyo kwa ubongo wako na vinafanya Kazi Kwa pamoja 😁

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

this one is such a vibe

Фото профиля jitu la kale
jitu la kale1 год назад

Hawa ndo walikuwa wanataka kuiondoa ccm?😂😂😂😂😂

Фото профиля Lubasha Jr
Lubasha Jr1 год назад

Eti

Фото профиля J
J1 год назад

Simshangai yeriko, namshangaa mbowe kuwa karibu na watu kama Hawa. Hawa ndio washauri wake

Фото профиля Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway1 год назад

Mimi naamini hakuna somo kubwa la kuchunga ulimi na uchawa kama ilivyo watokea jamaa na wapambe wa Jiwe baada ya maafa , kama kuna mwanasiasa hakujifunza pale , hatakaa ajifunze tena

Фото профиля Jebra Kambole
Jebra Kambole1 год назад

Machinery ya Chama

Фото профиля CHINGA
CHINGA1 год назад

A FEW MOMENT LATER......

Фото профиля Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 год назад

Muhimu sana kuweka akiba ya maneno. Hata kama kujilipua kuna wakati kunalipa

Фото профиля Pastore
Pastore1 год назад

Nikimskiliza hizi week mbili tatu za mwaka huu 2025, halafu nakumbuka nilisoma kitabu chake mpaka nikakimaliza, kwa kweli mwili unaisha nguvu

Фото профиля Christian Bwaya
Christian Bwaya1 год назад

Mstaafu alishindwa kabisa kuwakemea hawa watu wazembe? Kwa nini aliruhusu watu kama hawa wasiochagua cha kusema wawe karibu naye?

Фото профиля Lubasha Jr
Lubasha Jr1 год назад

Maana yake walikua na baraka zake, toka mwanzoni walitangaza vita

Похожие видео