Loading video...
Video Failed to Load
Mimi humu nimeshatoa msimamo...
21,488 views • 1 year ago •via X (Twitter)
12 Comments

Sikiliza Reaction ya Wabunge wa Bunge la Tanzania, Juu ya Maombi ya Bunge la ulaya, Ikiwemo Kuachiwa kwa Tundu Lissu na mengine...🙆♂️ Video kwa Comments 👇

Kama kweli ushoga hatuutaki na MISAADA yao muikatae Sasa. Maana iyo ndo inawafanya mnakuwa watumwa wa mambo leo.

My single Stargazing just landed!

Hela ya ruzuku,misaada na bajeti mnchukua EU

Wangekua wanafoka hivi kwenye Report ya CAG

Wanang’ata mikono inayotulisha 😂😂😂

WAMTOEEE LISSU NJEEEE

Mzungu kaleta dini na Ndio aliyekataza ushoga leo anakwambia mutambue haki za mashoga jaman mbona kama wanatuchanganya au zile hadithi ya sodoma zilikua za uongo 🤣🤣🤣 WAJUBA TUTUMIE AKILI NA SIO MIHEMUKO LA SIVYO TUTAANGAMIA DUNIAN NA AHELA YETU

Ni kelele tu ila huyo wazir wa mambo ya ndin hana ubavu huwo ety aandike kuwa wanapigana na ushoga Iyo watakuwa nanaongea tu hao wabunge waganga njaa Ila hata huyo spika hawez kulitolea maamuzi

Wale wazee wa kutoa WARAKA hapa hutasikia chochote 🤣🤣🤣🤣 Kimnya NYOKO ZAO

Torn msimamo Kama serikali wa kimaandishi Kama mnapinga USHOGA

Kabla hamja weka huo mkataba wa ushoga ningependa bunge liwa fungulie wafungwa sita wamle mkundu @TunduALissu
Related Videos
Sensitive content
Page ya RAISI inapatikana humu X inapiga block watu kila siku, kumbe RAISI nae yupo humu kuangalia PICHA ZA NGONO. Serikali inatoa MADILI kwa CHAWA kumsifia RAISI humu kila siku Kwa waangalia PONO. Taasisi zote za serikali zina account humu zinapost matukio yao humu kwa waangalia PONO. Huyu Jamaa kichwani mwake anawaza NGONO tuu. Hatujasahau juzi kwenye Bunge la bajeti ndio huyu alienda na MALAYA wake wakaanza kupigana DENDA nje ya mlango wa BUNGE. Bila shaka tuna waziri mcheza PONO anawaza PONO tuu muda wote. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA
65,706 views • 1 year ago
Sensitive content
Lugha iliyotumika kumuelezea GWAJIMA humu ni nyepesi sana. REPOST BILA SABABU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA
48,143 views • 1 year ago

