Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mimi humu nimeshatoa msimamo...

21,488 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Sikiliza Reaction ya Wabunge wa Bunge la Tanzania, Juu ya Maombi ya Bunge la ulaya, Ikiwemo Kuachiwa kwa Tundu Lissu na mengine...🙆‍♂️ Video kwa Comments 👇

Profilbild von twalib mavumba
twalib mavumbavor 1 Jahr

Kama kweli ushoga hatuutaki na MISAADA yao muikatae Sasa. Maana iyo ndo inawafanya mnakuwa watumwa wa mambo leo.

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

My single Stargazing just landed!

Profilbild von Shize real
Shize realvor 1 Jahr

Hela ya ruzuku,misaada na bajeti mnchukua EU

Profilbild von Honoraty
Honoratyvor 1 Jahr

Wangekua wanafoka hivi kwenye Report ya CAG

Profilbild von journey
journeyvor 1 Jahr

Wanang’ata mikono inayotulisha 😂😂😂

Profilbild von #NoReformsNoElection
#NoReformsNoElectionvor 1 Jahr

WAMTOEEE LISSU NJEEEE

Profilbild von Yousouph Zaidu
Yousouph Zaiduvor 1 Jahr

Mzungu kaleta dini na Ndio aliyekataza ushoga leo anakwambia mutambue haki za mashoga jaman mbona kama wanatuchanganya au zile hadithi ya sodoma zilikua za uongo 🤣🤣🤣 WAJUBA TUTUMIE AKILI NA SIO MIHEMUKO LA SIVYO TUTAANGAMIA DUNIAN NA AHELA YETU

Profilbild von leen soo
leen soovor 1 Jahr

Ni kelele tu ila huyo wazir wa mambo ya ndin hana ubavu huwo ety aandike kuwa wanapigana na ushoga Iyo watakuwa nanaongea tu hao wabunge waganga njaa Ila hata huyo spika hawez kulitolea maamuzi

Profilbild von Mwaige
Mwaigevor 1 Jahr

Wale wazee wa kutoa WARAKA hapa hutasikia chochote 🤣🤣🤣🤣 Kimnya NYOKO ZAO

Profilbild von J1 🇹🇿
J1 🇹🇿vor 1 Jahr

Torn msimamo Kama serikali wa kimaandishi Kama mnapinga USHOGA

Profilbild von Emma Mpauko Tz 💪
Emma Mpauko Tz 💪vor 1 Jahr

Kabla hamja weka huo mkataba wa ushoga ningependa bunge liwa fungulie wafungwa sita wamle mkundu @TunduALissu

Ähnliche Videos